Madhara na Athari za Punyeto Zawaumbua na Kuwafedhehesha Vijana Wakiwa Ndani ya Ndoa Zao

hata Prof. janabi aliwahi kusema pale hospital ya Taifa, wameanzisha kitengo cha kupandikiza misuli ya mshedede iliyolegea au kuvunjika kwa sababu ya punyento au sababu zinginezo, na gharama yake alisema ni milioni 40 tu kama skosei 🐒
Achana na Janabi, huwa ana nadharia zake za hovyo tu. Asilimia kubwa ya wanaume wamepiga sana puchu na hao wanawake wanaridhika tu, wasioridhika wana shida
 
Tatizo la nguvu za kiume halisababishwi na Punyeto, hili jambo ni la Kisaikolojia na madhara yake hutokana na kutazama picha za ngono kwa kiasi kikubwa huwa inaharibu sana akili pale unapokuwa na Mwanamke halafu ukawaza picha au video za Ma Porn star hapo ndio huwa inaharibu mtiririko wote wa hisia kwa kuingiza picha ya Wanawake uliowaangalia kwenye picha na video za ngono.
 
Hahahahhaha nimecheka na uandishi wako ingawa umeandika uongo mtupu...
Nyeto Haina hayo madhara uliyoyataja hilo ni tatizo tofauti sana..

Mi najua madhara makubwa ya nyeto ni kutokupenda sana mademu coz utakua unaona unaweza kujiridhisha lakini kupiga show ni afya yako tu
Hahaha, Sasa mkuu kama hupendi mademu itasimamaje? Au inasimama akiwa kashika kitu kama sabuni?
 
Tatizo la nguvu za kiume halisababishwi na Punyeto, hili jambo ni la Kisaikolojia na madhara yake hutokana na kutazama picha za ngono kwa kiasi kikubwa huwa inaharibu sana akili pale unapokuwa na Mwanamke halafu ukawaza picha au video za Ma Porn star hapo ndio huwa inaharibu mtiririko wote wa hisia kwa kuingiza picha ya Wanawake uliowaangalia kwenye picha na video za ngono.
Na wale wanaotazama kisha wanapata hamu ya kupandana inakuaje? Nadhani kutosimamisha ni kila mtu na saikolojia yake.
 
Unaweza kuhitimisha kwa kusema,
Inafedhehesha sana,
Inasikitisha sana,
Inasononesha sana kwakeli.
Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana.
Ni aibu mno ndrugu zango..

Hivi sasa wanajutia nguvu imara sana za kijinsia, walizopoteza bafuni kwa nyeto kwa uhodari sana, lakini pia madhara ya afya hususan ya kisaikolojia na ulegevu wa mshedede wanayokumbana nayo hivi sasa yanawongezea msongo wa mawazo zaidi. Hawana uhodari wa tendo la ndoa kama walivyokua wakipiga nyeto.
Ama kweli majuto ni mjukuu..

Eti kijana wa miaka 40 au chini ya hapo, anahangaika na mizizi utadhani mganga wa kienyeji, ana bugia na kumeza kila anachoambiwa ni dawa ya kuongeza nguvu za kijinsia, kumbe maskini ya Mungu, aliathiri misuli ya mshedede wake kwa kuusugua na deto kwa mkono wake mgumu kama spana vile, matokeo yake akaathiri na kuuchosha misuli na mfumo wa afya ya uzazi wake, maskini kijana wa watu, mtanashati, unamuona mwenye afya, lakini kumbe ni suruali na shati tu lakini hamna maajabu ndani yake..

Leo kaoa pisi kali,
binti laini, anapewa mbususu, mshedede hausimami na umepoa kama barafu, na wala hauna dalili hata ya kustuka tu. Na mkeo ndiyo yuko tayari hot anahitaji kupelekewa moto...

Inasikitisha sana,
Inasononesha sana,
Inafedhehesha sana wajemeni..

Leo hii kila kona ya nchi, mabaraza ya usuluhishi wa masuala ya ndoa mitaani, na kwenye madhehebu ya dini, yanahangaika sana usiku na mchana kusuluhisha kesi za vijana wadogo tu wa kiume kutowapatia haki ya tendo la ndoa wake zao kwa zaidi ya miezi mi3 au zaidi. Mshedede is no more. Kisingizio eti labda kalogwa. hakuna kulogwa ni madhara ya nyeto hayo.
Inaumiza sana mtima.

Ushauri wa jumla,
wewe kijana unaepanga kwenda kupiga nyeto sasa hivi na umeshaandaa na sabuni kabisaa naskia siku hizi mmeadvance kidogo mnatumia mafuta, nakushauri acha hiyo ujinga mara moja sawa! alaaa!

Na wewe ambae ndio umemaliza kupiga punyeto sasahivi. leo iwe ndiyo mwanzo na mwisho wa kufanya huo uchafu, lione kwanza.
Usinichekee kabisaa utakuja kujuta baadae kama hawa ambao sasa hivi wanatia hurumu..

Na wew ambae hujui nyeto ni nini, don't try even to know it or to learn it. Don't do it at home or at school.

Tunza afya yako ufurahie maisha yako.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kaka wambie na wadada wanatoa namba wakipigiwa hawapokei sasa hapo unafikiri nini kinafuata kwa kijana wa watu kama sio kuchukua Sheria mkononi
Hyo CHAPUTA haifai naunga mkono hoja..sema mtoa mada kataja sabuni na mafuta kasahau kuna mdudu mende anatumika kwenye nyeto...vijana acheni kabixa hayo mambo yanamadhara makubwa hakuna aliyekuwa mtaalam wa nyeto kama mimi lakini niliacha na sahv nipo vizuri sana..kauli mbiu kuishi bila kupiga punyeto inawezekana.
 
Achana na Janabi, huwa ana nadharia zake za hovyo tu. Asilimia kubwa ya wanaume wamepiga sana puchu na hao wanawake wanaridhika tu, wasioridhika wana shida
ndiyo wana shida,
sasa miezi mi3 hujaguswa na mumewe afanyeje sasa...

kwenda kuomba msaada kwenye baraza la usuluhishi au kule madhabahuni ndiyo shida yake right?

achaneni na sabuni ndrugu zango majuto ni mjukuu ndrugu zango wapiga nyetro 🐒
 
Wanataka kuuza madawa kwa vijana wawaue figo tu wajinga wajinga hao kumbe?
Mwanamke mwenye afya njema ya akili na hana shida ya magonjwa ya zinaa na UTI na ana hisia na wewe (anakupenda) na wewe ukaongeza utundu kidogo dakika tano mpaka kumi zinatosha kabisa.
 
si mnakuja mabarazani na huku kwenye maombi na maombezi mnashuhudia wenyewe alaaa 🤣

ushauri wangu utakua na maana ukiachana na hiyo deto halafu ukaweka mke ndani 🐒
Mpaka mtu akaja huko kwenye maombezi ya kufunga huyo mtu atakua na tatizo la kiakili gentleman 🐒
 
Mwanamke mwenye afya njema ya akili na hana shida ya magonjwa ya zinaa na UTI na ana hisia na wewe (anakupenda) na wewe ukaongeza utundu kidogo dakika tano mpaka kumi zinatosha kabisa.
Kweli. Anakuja kalowa zamani mno.
 
Tatizo la nguvu za kiume halisababishwi na Punyeto, hili jambo ni la Kisaikolojia na madhara yake hutokana na kutazama picha za ngono kwa kiasi kikubwa huwa inaharibu sana akili pale unapokuwa na Mwanamke halafu ukawaza picha au video za Ma Porn star hapo ndio huwa inaharibu mtiririko wote wa hisia kwa kuingiza picha ya Wanawake uliowaangalia kwenye picha na video za ngono.
kwahiyo picha za ngono zinasababisha mshedede usisimame ukiwa na mke wako kitandani right?

na ukiwa na sabuni bafuni mshedede unasimama right?

au kuangali picha za ngono kuna athiri moja kwa moja mshedede ugome kusimaa kijana akioa tu 🐒
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya kupiga punyeto na ukosefu wa nguvu za kiume.
Kama huna nguvu za kiume ni huna tu hayo mengine ni visingizio.
%95 ya wanaume wote ulimwenguni wamepiga punyeto kipindi cha kubalehe kwao.
Alafu hili suala la nguvu za kiume linakuzwa sana kuliko uhalisia.

Ila kitu chochote ukizidisha kupita kiasi ni razima kiwe madhara .
 
Mpaka mtu akaja huko kwenye maombezi ya kufunga huyo mtu atakua na tatizo la kiakili gentleman 🐒
hapo nyuma kidogo migogora ya masuala ya mipaka na ardhi iliongoza kua mingi huko mabarazani...

ila sasa ni migogoro ya ndoa tu inayohusiana na tendo la ndoa kupuuzwa na vijana hasa wa kiume wa 40 and below years,

unadhani huu ni muujiza gentleman?🐒
 
Kweli. Anakuja kalowa zamani mno.
Pia na wanawake wanakosa ujuzi kwenye ndoa zao wamezubaa! tena wamejisahau Sana unajua kuna wanawake wanaamini tendo la ndoa lazima aanzishe mwanaume hapo unakuta anahamu lakini hasemi anakuja kuonesha dalili zake baada ya muda huku mwanaume ana stress za madeni machine haisimami basi
lawama zinaanza! wadada kuweni
watundu wategeni wanaume wenu muda wote ili kuwavutia
 
Unaweza kuhitimisha kwa kusema,
Inafedhehesha sana,
Inasikitisha sana,
Inasononesha sana kwakeli.
Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana.
Ni aibu mno ndrugu zango..

Hivi sasa wanajutia nguvu imara sana za kijinsia, walizopoteza bafuni kwa nyeto kwa uhodari sana, lakini pia madhara ya afya hususan ya kisaikolojia na ulegevu wa mshedede wanayokumbana nayo hivi sasa yanawongezea msongo wa mawazo zaidi. Hawana uhodari wa tendo la ndoa kama walivyokua wakipiga nyeto.
Ama kweli majuto ni mjukuu..

Eti kijana wa miaka 40 au chini ya hapo, anahangaika na mizizi utadhani mganga wa kienyeji, ana bugia na kumeza kila anachoambiwa ni dawa ya kuongeza nguvu za kijinsia, kumbe maskini ya Mungu, aliathiri misuli ya mshedede wake kwa kuusugua na deto kwa mkono wake mgumu kama spana vile, matokeo yake akaathiri na kuuchosha misuli na mfumo wa afya ya uzazi wake, maskini kijana wa watu, mtanashati, unamuona mwenye afya, lakini kumbe ni suruali na shati tu lakini hamna maajabu ndani yake..

Leo kaoa pisi kali,
binti laini, anapewa mbususu, mshedede hausimami na umepoa kama barafu, na wala hauna dalili hata ya kustuka tu. Na mkeo ndiyo yuko tayari hot anahitaji kupelekewa moto...

Inasikitisha sana,
Inasononesha sana,
Inafedhehesha sana wajemeni..

Leo hii kila kona ya nchi, mabaraza ya usuluhishi wa masuala ya ndoa mitaani, na kwenye madhehebu ya dini, yanahangaika sana usiku na mchana kusuluhisha kesi za vijana wadogo tu wa kiume kutowapatia haki ya tendo la ndoa wake zao kwa zaidi ya miezi mi3 au zaidi. Mshedede is no more. Kisingizio eti labda kalogwa. hakuna kulogwa ni madhara ya nyeto hayo.
Inaumiza sana mtima.

Ushauri wa jumla,
wewe kijana unaepanga kwenda kupiga nyeto sasa hivi na umeshaandaa na sabuni kabisaa naskia siku hizi mmeadvance kidogo mnatumia mafuta, nakushauri acha hiyo ujinga mara moja sawa! alaaa!

Na wewe ambae ndio umemaliza kupiga punyeto sasahivi. leo iwe ndiyo mwanzo na mwisho wa kufanya huo uchafu, lione kwanza.
Usinichekee kabisaa utakuja kujuta baadae kama hawa ambao sasa hivi wanatia hurumu..

Na wew ambae hujui nyeto ni nini, don't try even to know it or to learn it. Don't do it at home or at school.

Tunza afya yako ufurahie maisha yako.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Msikilize huyu
Najiuliza mbona hatuoni mapadre na masista wakiwa na hasira

View: https://www.facebook.com/reel/528434023135135
 
hapo nyuma kidogo migogora ya masuala ya mipaka na ardhi iliongoza kua mingi huko mabarazani...

ila sasa ni migogoro ya ndoa tu inayohusiana na tendo la ndoa kupuuzwa na vijana hasa wa kiume wa 40 and below years,

unadhani huu ni muujiza gentleman?🐒
Umeoa mfanyakazi wote mnarudi jioni mpo hoi , mara mna migogoro ya fedha , kero za makazini mnakuja nazo mpka nyumbuni hizo nguvu za kiume na kike mtazitolea wap gentleman ?🐒
 
Leo kaoa pisi kali,
binti laini, anapewa mbususu, mshedede hausimami na umepoa kama barafu, na wala hauna dalili hata ya kustuka tu. Na mkeo ndiyo yuko tayari hot anahitaji kupelekewa moto...
Mkuu, punyeto inasingiziwa tu.
Sidhani kama kuna mwanaume hajapitia hiyo kadhia maana wengi wakiwa mashuleni na vyuo huponea huko!

Tatizo la kukosa nguvu za kuchakata mbususu kikamilifu chanzo chake halisi ni vyakula na vinywaji visivyofaa
 
Back
Top Bottom