Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

Kama vipi basi watengeneze mfereji kama ule wa Suez ili meli ziweze kupeleka mizigo moja kwa moja kutoka kwa mabeberu
 
Mbona kama anajibiwa yule alisema kwamba UWANJA WA CHATO Hauna faida kwa taifa na ni maamuzi ya binafsi?
 
Kazana baba. Utakuwa DC wa Chato. The reality is: It is a hostile location for an airline business.
 
Okey na akishatoka madarakani na uwanja unakuwa useless
Absolutely Sir

Tatizo lake hatutaki kujifunza kupitia makosa ya wengine, refer uwanja wa Mizengo Pinda ule wa Katavi.

The same scenario will happen to this beautiful port of ours, Chato baada ya huyu Mhe. Sana kuondoka.
 

Mwisho wao unakuwaga mbaya sana!! BOKASA na MAOBUTU Mahekalu waliyojenga yamebakia MAGOFU.

Niite GK aka Bokasa.






 
Absolutely Sir

Tatizo lake hatutaki kujifunza kupitia makosa ya wengine, refer uwanja wa Mizengo Pinda ule wa Katavi.

The same scenario will happen to this beautiful port of ours, Chato baada ya huyu Mhe. Sana kuondoka.
Hii nchi ni shamba la bibi
 
Na hii ni proof kwamba hataondoka madarakani atafia humohumo
 

CHATO ni GBADOLITE ,Just Matter of Time.
 
Likatue kabisa barazani kwake sio kiwanjani, shirika lenyewe limewekewa kinga ya mahesabu yake kutokukaguliwa na ofisi ya CAG..!!

Na kwa jinsi huu utawala ulivyo itakuja kutangazwa kwamba ruti ya Chato ndio inayoongoza kwa kuingizia mapato Atcl na bunge zima pamoja na wale Boot Lickers wote watashangilia kwa nderemo na vifijo.

Hapo ndipo tulipofikia leo Tanzania, nchi nzima watu wamegeuzwa misukule tunachohitajika kufanya ni kusifia tu chochote kile anachofanya Magufuli. Ni aibu kubwa sana kama taifa.
 

Na wewe lazima uwe mtalii wa Kwanza wa Chato na Burigi kwa ndege za ATC 😂😂😂😂

Usimchoke Rais. Yupo tena sana tu
 
Kumfurahisha mkulu inatugharimu kuliko kutufaidisha!
Yale yale ya wale wanyama waliopelekwa burigi wakaishia kuona maruweruwe tu huko
 
Sawa Mkuu ,Ngoja tuje kusubiria MAGOFU ya Makumbusho kwa ajili ya watoto na wajukuu wetu.

Kwa nchi yetu hii, bado interactions zitaendelea kuwepo tena sana tu. Kibiashara, Kigoma na Katavi zikifunguliwa kwa miundombinu, tuna fursa ya kufanya biashara na DrC ambayo ni nchi yetu utajiri mkubwa mno.

Bahati mbaya tunafikiria against mtu, badala ya picha kubwa. Tusiwe watazamaji. Tuanze kufunguka kama wakenya walivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…