Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

Wakati tukisoma primary &Sekondari huko mbeya tulikuwa tukichelewa shule tukachapwa fimbo za mikononi tulikua hatusikii maumivu inakuwa imeganda...tunaona tu alama nyekundu! Maumivu utayasikia kwenye saa 4 au 5 jua likianza kutoka ... miaka ya 90s kurudi nyuma baridi ilikuwa ni kali zaidi aisee , kupasuka miguu kawaida tu.
 
Njombe ni habari nyingine, yaani usiku unavaa jacket kisha unajifunika na blanketi. Asubuhi unakunywa chai kwenye chupa ya chai ili isipoe. Sio mchezo.
 
Acha kutupiga kamba mkuu. Hakuna baridi hiyo huko unaposema, ni kama Arusha tu au Iringa, hata njombe haijapafikia.
 

Attachments

  • Murmansk.png
    50.4 KB · Views: 10
Kama hadi kuna barafu barabarani basi huko ndio coldest place in Tz

Kunakuwa na zile mvua wanaita za mawe kipindi cha mwezi wa sita na saba...

Miezi mingine kwenye umande badala ya kuwa na maji kunakuwa na vibarafu barafu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…