Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
1. Mabweni ya Chuo Kikuu Cha DAR ES SALAAM
2. Tazara flyover
3. Ubungo flyover
4. Mv. Hapa Kazi TU
5. Mv Mbeya
6. Daraja la Mkupita
Jamani leo ikiwa ni siku ya mazishi yake haki yake tumpeni kila mradi alioukamilisha tuutaje
Namba 2 & 3 sio miradi ya JPM! Yeye alikuta hadi pesa zimeshapatikana, akaja kuitekeleza tu.
 
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghosha 😃😂😁😀😅😄
 
Hata ujenzi wa gati mafia si magufuli gati ilisha jengwa wakati wa kikwete wakawa hawaitumii kwa sababu ya biashara ya fiber
Kumbe

Sasa atakua kajenga nn kama kila kitu wadau wanasema si yeye
 
Kwakweli vituo vya afya kila kata ni msingi mzuri wa community health. Vikipata maji ya uhakika na umeme, mafridge ya kuhifadhia dawa na wataalamu wenye sifa. Mzigo mkubwa kwenye hospitali za rufaa utapungua.
RIP Magufuli.
Nimefarijika kuona kwa mara ya kwanza umekuwa na maoni chanya kwa marehemu JPM.
 
Kumbe

Sasa atakua kajenga nn kama kila kitu wadau wanasema si yeye
Basi atakuwa amejenga fundi Michael, kuna watu leo wameamua hawataki tu kusikia kuna mema ya Hayati Magufuli.
 
Mkuu ukipewa nafasi fanya kwa sehemu yako bila kufikiria kuwa Kuna mwingine atakuja. Otherwise wewe una itilafu kichwani Kuna fyuzi imelegea.
Sure mkuu, yeye alitimiza wajbu wake regardless nani angemfata...big up JPM
 
Kwangu mimi naona ametimiza wajibu wake kwa nafasi yake


Sina hakika kama amekwenda extra miles
 
Hii kituo cha mabus kaingia kaikuta ishaanza
Acha uongo mkuu....Hii nshu ya stend si ndo had alimwambia madiwan wa dar wakichelewa kutoa eneo atahamisha hyo hela iende mkoa mwingne....How comes useme kaikuta????
 
Tatizo la Magufuli, alidhani atakuwa Rais wa Tanzania milele miradi mingi utadhani aliambiwa hawatakuja watu wengine kufanya haya mambo ni kupokezana vijiti unajikuna unapoweza unaachia wengine nao wataendeleza hakujifunza kuwa alianza kuyafanya Nyerere na hakuweza kumaliza.
Wacha ubwege ww..kwan hao waliomtangulia hawakuona hyo miradi..mbona wasiifanyee baas..yy alikuwa anafanya kwa sababu hana uhakika na ndivyo ilivyo kuwa wanaokuja n wale wale wasiokua na maono na taifa hili..nenda kalale nyau ww..wacha tumuage kipenzi chetu
 
Kumbe

Sasa atakua kajenga nn kama kila kitu wadau wanasema si yeye
Wanapamba mno hadi wanaongopa wengine ni mashabiki tu hawajui lolote nimeenda mafia mwishoni mwa 2014 nimeikuta gati ile ipo ila haitumiwi sababu matajiri wenye fiber wanahujumu ili waendelee kupiga pesa za kuwavusha watu kutoka kilipo tia nanga kivuko hadi nchi kavu

Maana pale zile sijui MV SHAREY zilikuwa haziwezi kufika sababu kina kifupi hivyo zilikuwa zina tia nanga mbali huko then fiber ndo zina faulisha watu kupeleka nchi kavu na hiyo gati ilikuwepo.
 
Back
Top Bottom