Unajenga Daraja moja unaua watu 800 sasa kweli ukija kamilisha Nchi nzima si hata hao wa kuyatumia watakuwa hawapo.
Unaonekana tabia ya unafiki, uongo na uzandiki uliianza toka ulipokuwa na umri wa mwezi mmoja unaonekana ata majirani zako unawapa tabu sana.
 
Ukweli ni kwamba nchi yetu ilipata bahati ya kuwa na kiongozi madhubuti. Itachukua miaka kwa wengine kuligundua hilo. ^May his name be preserved in all the capitals of Africa!^ --- Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote Afrika.
Unatuambia sisi tunakataa mzoga unaoza kaufufue na gwajima
 
Pole sana, bila JPM wewe pia usingekuwepo.
 
Usiwe na wasi wasi, Yesu kristo aliishi miaka 33 tu na Mtume Muhammadi aliishi 62 tu karibu sawa na Magufuli. Kazi walizofanya bado zipo miongozi mwetu. Aliyewtauma huachukua akishaona kazi aliyoatuma wamekamilisha.
 
Barabara zilianza wakati magu akiwa waziri na mipango ya ujenzi ilikuwepo tangu enzi za mkapa..

Kwa taarifa yako Tanzania ya Nyerere ilikua na maendeleo pamoja na hali bora za maisha kwa wananchi kuliko awamu ya tano

Elimu,matibabu,bure ,ajira za kumwaga kuanzia std 7 ATCL ,ndege zilisafiri hadi London na uarabuni.Treni za abiria na mizigo zilikua za uhakika kila siku reli ya kati na Tazara


Biashara zilishamiri,na mpaka kukawa na idhaa ya biashara radio Tanzania kwa ajili ya matangazo ya biashara
Viwanda vikubwa vilivyomilikiwa na serikali nchi nzima.mfano Urafiki,Kilitex,Mwatex,Sungura tex,musoma tex,Saab scania,Ufi,Fishnet,General Tyre,Bora Shoes Company,National Panasonic Tanzania,Phillips,Tanzania Swala biycle manufacturers

Tulikua na shirika la usagishaji na hifadhi ya chakula ya taifa NMC(sasa hivi moja ya tawi lake ndio pale Bakhressa Buguruni)ile ilikua mali ya umma

Kila nyumba ilikua na pipa la taka nje na gari za taka zikipita kila asubuhi,watia dawa vyooni na kwenye makaro walipita nyumba hadi nyumba kupulizia dawa za wadudu bure toka serikalini

Chai ya maziwa na mkate ilikua kitu cha kawaida katika kila nyumba kila ilipoitwa asubuhi.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mungu alitupa kwa Kazi maalumu, tunamshukuru Mungu kwaajili ya huyu baba yetu mzuri JPM, nitawasimulia wajukuu wangu upendo wa Magufuli kwa Tanzania
Kuteka , kuua kufunga kwenye viroba , kufungulia watu kesi za uonezi za uhujumu uchumi , utakatishaji fedha , kupora bureau de change , kupora hela matajiri benki , kushindwa kupandisha madaraja , mishahara kwa miaka mitano , kushindwa kuajiri kwa miaka mitano , kushindwa kulipa wastaafu na huu upendo nao wasimulie wajukuu zako ili hadithi yako ibalansi .
 
Acha Spamming
 
Iliokolewa kutokana na nini?
 
Ametuacha na Amani bila hofu ya corona! Dunia nzima wanashangaa na hawajaamini bado!!
Corona ni vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku, mnampaje sifa ya kudhibiti kitu kisicho na madhara? Kumsifu dikiteta magufuli kuwa kadhibiti corona, ni Sawa Sawa na kumsifu kuwa kadhibiti mende wasiambukize malaria, kitu ambacho ni hewa.
 
Magufuli hajasari nje ya Africa na wala hakupandisha ghalama za maisha lakini................👇
1. JPM anajenga Reli ya Mwendo kasi – SGR.
2. JPM anajenga Bwawa la Umeme – Nyerere HydroPower.
3. JPM amenunua Ndege 13 aina tofautitofauti.
4. JPM amejenga Ikulu kule Dodoma na yale Magorofa ya Wizara kule Mji wa Serikali Dodoma ( Mtumba) Magufuli City
5. JPM amehamisha Makao Makuu ya Serikali na ameijenga Dodoma imekuwa Jiji
6. JPM amejenga FlyOver Dar es Salaam pale Ubungo na TAZARA.
7. JPM amejenga daraja la Tanzanite pale Selander.
8. JPM ametengeneza huu Mfumo wa Kompyuta wa Malipo ya Serikali.
9. JPM alikuwa anaweka umeme hadi Vijijini (kwa Tsh. 27,000/= tu.)
10. JPM ameshawishi Bomba la Mafuta kutoka Uganda lipite Tanzania.
11. JPM anajenga daraja la Kingongo Ferry Busisi kule ziwa Victoria.
12. JPM amejenga Meli kubwa mbili mbili kila ziwa, yaani Ziwa Victoria 2, Ziwa Tanganyika 2 na Ziwa Nyasa 2.
13. JPM amejenga Hospital za Kanda kubwa nne… Dodoma, Mara, Mtwara, Geita na Songea
14. JPM amejenga Hospitali za Wilaya Zaidi ya 70
15. JPM amejenga Mradi Mkubwa wa Maji ya Victoria kule Tabora
16. JPM amejenga Mradi wa Maji Mkubwa Arusha
17. JPM amejenga Barabara ya Njia Nane Dar es Salaam hadi Kibaha
18. JPM alikuwa anajenga Mizani za Kisasa kabisa Kwenye Barabara zote kubwa
19. JPM amejenga Vituo vya Afya Zaidi ya 500
20. JPM amejenga na Kununua Rada 4 za AirPort
21. JPM amejenga Viwanja vya Ndege Mara, Iringa, Mbeya, Chato, Songea na Rukwa
22. JPM amejenga Masoko ya Madini kila Mikoa yenye migodi ya madini
23. JPM amejenga ukuta wa Mirerani na kuweka Camera za Ulinzi
24. JPM amejenga Bandari Kilwa, na kuzipanua Bandari Mtwara, Tanga na Dar es Salaam
25. JPM amejenga Masoko ya Kisasa zaidi, ya maana kama Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam
26. JPM amejenga Bus Stand za Kisasa Zaidi mikoani kama Dodoma, Morogoro, Dar es Salaam
27. JPM amenunua Vifaa Tiba kama MRI, CT Scan, Vifaa vya Kufanyia Oparations za Moyo pale JKCI Wagonjwa wanatoka nchi jirani kuja kutib
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…