n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Kwa haya maneno yako, waonekana wa hovyo kabisa.Tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo kama marehemu dikiteta magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa haya maneno yako, waonekana wa hovyo kabisa.Tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo kama marehemu dikiteta magufuli.
Unatia aibu sana !1. Ubungo interchange isinge jengwa
2. Tazara flyover isinge jengwa
3. Nyerere hydropower isinge jengwa...
Ben Saa nane angekuwepoWasiojulikana wasingekuwepo.
Watumishi wangekua wamepandishwa madaraja.
TRA wasingekua miungu watu.
Kesi za kubambikiza za uhujumu zisingekuwepo.
Unaonekana tabia ya unafiki, uongo na uzandiki uliianza toka ulipokuwa na umri wa mwezi mmoja unaonekana ata majirani zako unawapa tabu sana.Unajenga Daraja moja unaua watu 800 sasa kweli ukija kamilisha Nchi nzima si hata hao wa kuyatumia watakuwa hawapo.
Hujui kama viroba vya maiti viliokotwa baharini ?Unaonekana tabia ya unafiki, uongo na uzandiki uliianza toka ulipokuwa na umri wa mwezi mmoja unaonekana ata majirani zako unawapa tabu sana.
Kafufue mzogaMungu alitupa kwa Kazi maalumu, tunamshukuru Mungu kwaajili ya huyu baba yetu mzuri JPM, nitawasimulia wajukuu wangu upendo wa Magufuli kwa Tanzania
Unatuambia sisi tunakataa mzoga unaoza kaufufue na gwajimaUkweli ni kwamba nchi yetu ilipata bahati ya kuwa na kiongozi madhubuti. Itachukua miaka kwa wengine kuligundua hilo. ^May his name be preserved in all the capitals of Africa!^ --- Jina lake lihifadhiwe katika makabati yote Afrika.
Pole sana, bila JPM wewe pia usingekuwepo.1. Ubungo interchange isinge jengwa
2. Tazara flyover isinge jengwa
3. Nyerere hydropower isinge jengwa
4. Tanzanite bridge isinge jengwa
5. Barabara za jiji maeneo ya makumbusho, kijichi, sinza, kijitonnyama etc zisinge jengwa
6. SGR singe jengwa kwa kiwango cha 160KM/hr
7. Arusha roads isinge jengwa
8. Vituo vya afya 400 visonge jengwa
9. Hospitali za wilaya na mikoa zisinge jengwa
10. Nyerere memoerial hospital na southern zonal hospital isinge jengwa
11. Dodoma makao makuu isinge kuwa mahali ilipo
12. Wami bridge isinge jengwa
13. Etc
Buriani Dr Magufuli, mwendo umeumaliza.
Usiwe na wasi wasi, Yesu kristo aliishi miaka 33 tu na Mtume Muhammadi aliishi 62 tu karibu sawa na Magufuli. Kazi walizofanya bado zipo miongozi mwetu. Aliyewtauma huachukua akishaona kazi aliyoatuma wamekamilisha.1. Ubungo interchange isinge jengwa
2. Tazara flyover isinge jengwa
3. Nyerere hydropower isinge jengwa
4. Tanzanite bridge isinge jengwa
5. Barabara za jiji maeneo ya makumbusho, kijichi, sinza, kijitonnyama etc zisinge jengwa
6. SGR singe jengwa kwa kiwango cha 160KM/hr
7. Arusha roads isinge jengwa
8. Vituo vya afya 400 visonge jengwa
9. Hospitali za wilaya na mikoa zisinge jengwa
10. Nyerere memoerial hospital na southern zonal hospital isinge jengwa
11. Dodoma makao makuu isinge kuwa mahali ilipo
12. Wami bridge isinge jengwa
13. Etc
Buriani Dr Magufuli, mwendo umeumaliza.
NakaziaMungu alitupa kwa Kazi maalumu, tunamshukuru Mungu kwaajili ya huyu baba yetu mzuri JPM, nitawasimulia wajukuu wangu upendo wa Magufuli kwa Tanzania
Ametuacha na Amani bila hofu ya corona! Dunia nzima wanashangaa na hawajaamini bado!!Tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata rais wa hovyo kama marehemu dikiteta magufuli.
Kuteka , kuua kufunga kwenye viroba , kufungulia watu kesi za uonezi za uhujumu uchumi , utakatishaji fedha , kupora bureau de change , kupora hela matajiri benki , kushindwa kupandisha madaraja , mishahara kwa miaka mitano , kushindwa kuajiri kwa miaka mitano , kushindwa kulipa wastaafu na huu upendo nao wasimulie wajukuu zako ili hadithi yako ibalansi .Mungu alitupa kwa Kazi maalumu, tunamshukuru Mungu kwaajili ya huyu baba yetu mzuri JPM, nitawasimulia wajukuu wangu upendo wa Magufuli kwa Tanzania
Baharini na MitoniHujui kama viroba vya maiti viliokotwa baharini ?
Acha SpammingHivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.
Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!
Chadema wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.
Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la chadema ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu Jamii forum lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!
Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza Chadema ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!
Kutokana na Chadema kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!
Viongozi wa Chadema wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.
Tundu Lisu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa Chadema lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!
Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya Chadema wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!
Chadema wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama ,mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame(orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )?
Utajibiwa tatizo ni mwendazake!
Bavicha na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya Chadema ni Mbowe na Tundu Lisu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.
Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa Ccm wataulizwa SAMIA na Dr Nchongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa ccm kwa sasa.
Kwa nini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli
Iliokolewa kutokana na nini?Wewe unayejua kusoma. unajua jpm alipewa jina tingatinga kwa ajili gani?usimfie mtu mbio bila kuangalia anayemkimbiza. Huwezi taja miundombinu tzania hii bila kumtaja tingatinga. Leo umeanza kumsifia jk wakati ccm iliokolea 2015 kutokana na record ya jpm hasa hiyo ya miondombinu.
We ni profesa LIPUMBA vuuu.Kwa haya maneno yako, waonekana wa hovyo kabisa.
Corona ni vijimafua visivyoweza kuua hata kifaranga cha kuku, mnampaje sifa ya kudhibiti kitu kisicho na madhara? Kumsifu dikiteta magufuli kuwa kadhibiti corona, ni Sawa Sawa na kumsifu kuwa kadhibiti mende wasiambukize malaria, kitu ambacho ni hewa.Ametuacha na Amani bila hofu ya corona! Dunia nzima wanashangaa na hawajaamini bado!!