mtoa uzi naona una iomba ya mchana ili uijue ukubwa wake au uijue imenyolewa au bado ina pori-vizuri vinaonekana na kumbuka binadamu awakosi mitizamo tofauti-mtu anaweza fanya mazuri mia mmoja akakosea sehmu nyeti ambayo ni nguzo aka harbu yoteee,Nia bila utekelezaji ni sawa na zero ila utekelezaji bila mataarisho na mipango iilio mazuri pia ni zero- inchi hii kikubwa ni ushabiki ulio na umimi-
 
Kujenga reli ya kisasa ya umeme ya mwendokasi kutoka dar hd moro
 
..kuwaandama wanachama wa CDM.

..kuwafungulia viongozi wa CDM nchi nzima kesi 301 za uchochezi.
 
Kujenga reli ya kisasa ya umeme ya mwendokasi kutoka dar hd moro
Hilo suala si bado lipo kwenye maandishi. Sidhani kama limeanza kutekelezwa kwa vitendo

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Eshima imekuwepo kat ya Mwenye nacho na asiekua nacho ile kauli chafu ya ntakupiga nikulipe imefutika.vile vile kumekuwepo na haki Sawa ya ulipaji kod uwe chama tawala au mpinzan kodi utalipa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu ya mkwele nilisota sana ila wamu hii mungu ampe maisha marefu jpm ikiwezekana tumuongeze muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…