Landson Tz
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 304
- 238
Hamu ya maendeleo japo bado uhalisia wa kuona njia sahihi ya kuleta maendeleo haijawa clear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika pita pita zangu, nakutana na watu mbalimbali wenye mitazamo tofauti kuhusu utendaji wa serikali iliyopo madarakani.
Wengine wamekuwa wakisema serikali hii imefanya mambo mengi mazuri ambayo serikali zilizopita zilishindwa kuyafanya.
Wakati kuna kundi lingine linadai serikali hii haijafanya chochote cha maana zaidi ya kuharibu mambo maZuri yaliyofanywa na serikali zilizopita.
Sasa basi naomba nichukue nafasi hii, kuwaomba wale wote wanaosema serikali hii ni ya kipekee kwa kufanya mambo makubwa ambayo yalishindikana kwa serikali zilizopita watuorodheshee mazuri hayo.
Ili wale ambao hawana imani nayo, waanze kubadilisha mitazamo yao.
Karibuni sana.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Hilo suala si bado lipo kwenye maandishi. Sidhani kama limeanza kutekelezwa kwa vitendoKujenga reli ya kisasa ya umeme ya mwendokasi kutoka dar hd moro
Kwanini mkuuMleta uzi unamtafutia GENTAMYCINE ban kilazima! Unataka akujibu akuharibie siku?
Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu ya mkwele nilisota sana ila wamu hii mungu ampe maisha marefu jpm ikiwezekana tumuongeze mudaKatika pita pita zangu, nakutana na watu mbalimbali wenye mitazamo tofauti kuhusu utendaji wa serikali iliyopo madarakani.
Wengine wamekuwa wakisema serikali hii imefanya mambo mengi mazuri ambayo serikali zilizopita zilishindwa kuyafanya.
Wakati kuna kundi lingine linadai serikali hii haijafanya chochote cha maana zaidi ya kuharibu mambo maZuri yaliyofanywa na serikali zilizopita.
Sasa basi naomba nichukue nafasi hii, kuwaomba wale wote wanaosema serikali hii ni ya kipekee kwa kufanya mambo makubwa ambayo yalishindikana kwa serikali zilizopita watuorodheshee mazuri hayo.
Ili wale ambao hawana imani nayo, waanze kubadilisha mitazamo yao.
Karibuni sana.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Mkuu, hivi media zimekatazwa kuonesha habari za bomoabomoa? Au kuna media yoyote inayoonesha habari hizo?
Kila kunapokucha inakuwa ni afadhali ya janaKwanini mkuu
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Sjakupata boss