Yasipoongelewa hayo siku ya Uhuru sijui-SGR
-NDEGE
-DARAJA
-FLYOVER
-BWAWA LA UMEME
Vipi haya?
-Ruzuku kwenye Kilimo
-Masilahi ya Wafanyakazi
-Ajira kwa vijana wanao maliza vyuo
-Upatikanaji wa maji salama.
-Afya bora kwa kila Mtanzania.
-Elimu bora kabisa kabisa
-Mazingira ya ufanyaji biashara Tz
Vipi haya?
-Upatikanaji wa maji salama.
-Afya bora kwa kila Mtanzania.
Ukiongea kinyume na malaika mkuu utaonekana mpinzani na ni msaliti. [emoji26] [emoji26]-SGR
-NDEGE
-DARAJA
-FLYOVER
-BWAWA LA UMEME
Vipi haya?
-Ruzuku kwenye Kilimo
-Masilahi ya Wafanyakazi
-Ajira kwa vijana wanao maliza vyuo
-Upatikanaji wa maji salama.
-Afya bora kwa kila Mtanzania.
-Elimu bora kabisa kabisa
-Mazingira ya ufanyaji biashara Tz
Anafanya mengi mazuri sana,Kazi nzuri,ajitenge na ubaguzi wa kisiasa u vywama, atakua kiongozi bora wa nyakati zote.Mfano leo ktk uzinduzi wa kitaifa ujenzi daraja,kafanya nywema! Tatizo kamalizia kwa salamu kupongeza ccm chaguzi za Jafo na kumalizia Wapinzani wataendelea kuisoma namba!Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi