Ni kweli kabisa ulivyoandika 'tusifikirie anaendesha familia' kwani hauwezi kuendesha familia kwa kuwamiminia risasi, kuwa-eliminate(Ben Saa 8) na mambo mengi ya kinyama na kikatili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliomba kura zetu ili ayafanye hayo mi sioni ajabu, mfano ukiwa baba ni haki yako kuwanunulia watoto wako ngua na kuwatimizia mahitaji yao, kwahiyo hakuna jipya,
Pia jiulize miaka 58 ya Uhuru bado taifa ni changa wakat aliyekuwa anazaliwa amebakiza miaka miwili asitafu. Kama maendeleo tumecheleweshewa wa kuwalaumi ni hao hao ccm waliotawala tangu Uhuru,
Kuna nchi tumetangulia kupata Uhuru kuliko wao mfano Kenya, Botswana, south Africa nk LAKINI ZINATUZIDI KWA SANA HUONI THERE IS WRONG somewhere? ACHENI KUSIFIA KILA JAMBO HUKU MKIWEKA PEMBENI AKILI NA ELIMU ZENU
 
Wapinzani walivo mafala wameishiwa hoja hawana hata kwa kukosoa, njooni mpinge kuwa hayo yanayoelezwa hapo hayajafanyika.

Umeambiwa kuwa hakuna viwanda 4,000 sasa unataka waje wapinge nini? Hivyo vituo vya afya na hospitali za wilaya ambazo mnasimbua nazo watu nyingi bado kukamilika hazikifiki hata 300b, wakati huo huo deni la taifa limepanda kwa 20t within 4yrs. Hapo kuna miujiza gani.
 
Tanzania tunahitaji kupigania uhuru wa kweli hawa ccm wameupokonya uhuru wetu wa bendera 😂😂😂
 

Hiyo hospitali imejengwa kwa shilingi ngapi, usije ukasifia kitu kwakua hakikujengwa kwa uzembe basi usifie kisa imejengwa sasa. Weka figure ya huo ujenzi.
 
Kama anajiamini na hayo yote kwanini aogope Wapinzani sasa?
Siku zote Kibaya cha Jitembeza bali Kizuri kinajiuza!
 
Hiyo hospitali imejengwa kwa shilingi ngapi, usije ukasifia kitu kwakua hakikujengwa kwa uzembe basi usifie kisa imejengwa sasa. Weka figure ya huo ujenzi.
Shs ngapi mm hainihusu. Ninachoangalia ni kukamilika kwa hosp ilihoshindikana kukamilika kwa awamu zote 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuache genius wetu afanye kazi.
Of course ni 'jinius' kwa kukutia ujinga wewe na wenzako na kuwafanya muamini kuwa nyinyi nyote ni mali yake, kama ng'ombe vile wanaofugwa na mfugaji.

Mtu na akili zako unakuja hapa kuwaambia watu kwamba miradi yote inatekelezwa kwa pesa za madafu? Kuna unachokijua kweli katika mambo ya miradi mikubwa inayohitaji manunuzi toka nje? Hao makandarasi wa nje nao utawalipa madafu?

Kwa ujinga wenu huu mnatamani waTanzania wengine wote wawe kama nyinyi mliokabidhi utu wenu kwa huyo 'genius' wenu.
 
Kumbe kujua english ndiyo kigezo cha kuwa genius. Nchi zisizoongea kiinglish zote hazina genius persons!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa kilichoandikwa lakini? Hivi ukiambiwa kuna mtu ni genius na amesoma elimu yake yote hadi PhD kwa Kichina lakini huyo genius hajui Kichina utaona ni jambo la kawaida?
 
Kiukweli magufuri jembee ,kwangu ni raisi bora hajawai tokea ni mtu wa kuthubutu, amejenga reli, mradi mkubwa wa umeme ambao kwa afrika ni nnchi hazizidi nne zenye zenye umeme huo, pia katimiza ndoto za baba wa taifa kuhamia dodoma, ombi lg kwa mfanya kazi yoyote wa serikalini ambae hapendi kukaa dodoma acha kazi ukale nyasi, hizo nafasi nasi twaziitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…