Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
So watu wa humu JF ni wanaishi sayari ya Pluto?Wananchi wanao mchukia ni humu JF country mmoja wapo wewe ![emoji16] taaabu tupu !
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So watu wa humu JF ni wanaishi sayari ya Pluto?Wananchi wanao mchukia ni humu JF country mmoja wapo wewe ![emoji16] taaabu tupu !
Ni kweli kabisa ulivyoandika 'tusifikirie anaendesha familia' kwani hauwezi kuendesha familia kwa kuwamiminia risasi, kuwa-eliminate(Ben Saa 8) na mambo mengi ya kinyama na kikatili.Katika kipindi kifupi cha miaka 4 tumeshuhudia Rais wetu akisimamia kwa nguvu miradi mingi yenye thamani kubwa ya fedha na yote inatambaa kwa nguvu na speed kubwa.
Ni katika nchi hii tuliaminishwa kuwa hakuna hela, hela zinapatikana nje ya nchi tu. Lakini leo mheshimiwa rais amesema hela zipo hapa na nje hatoki na miradi inakwenda vizuri. Ni lazima tujiulize hizi hela zilikuwa wapi?
Badala ya kulalamika tujifunze mbinu anazotumia kupata fedha. Tuache kufanya kimoja kimoja kama tunaendesha familia zetu. Tukumbuke hii ni nchi siyo familia.
Rais wetu ana akili nyingi sana.
Tena katika kipindi cha miaka hii minne hata wazungu wasingeweza kwenda na hizi multiple and giant projects Kwa wakati mmoja. Only geniuses can do this.
Kwa wakati mmoja amefanya yafuatayo na yote yanatambaa.:
1. Ujenzi wa barabara zote zinaendelea na zina kamilika kwa wakati.
2. Ujenzi wa bwawa la umeme unaendelea na mkandarasi yuko sight
3. Ujenzi wa hospitali na vituo vya afya umekamilika kote nchini
4. Ujenzi wa stand za kisasa za mabasi nchi nzima
5. Ujenzi wa masoko nchi nzima
6. Ujenzi wa machinjio za kisasa
7. Ujenzi reli unaendelea
8. Ununuzi wa ndege
9. Uanzishwaji wa viwanda nchi nxima. Hadi sasa viwanda vimefufuliwa na kujengwa upya zaidi 4000.
10. Madawa supply ipo constantly kuanzia ngazi ya zahanati hadi hospitali ya taifa
11. Usambazaji wa umeme mijini na vijijini unaendelea kwa kasi
12. Elimu bure inaendelea
13. Mishahara inalipwa kwa wakati.
14. Upanuzi wa viwanja vya ndege
15. Kuhamia Dodoma walisema hawezi sasa ameweza. Na amejenga temporary offices za wizara na permanent Ikulu.
16. Ujenzi wa hospitali ya uhuru
17. Ununuzi wa vivuko na meli
Yote haya yanakwenda kwa wakati mmoja. Only geniuses can do this coz anakuwa na planning.
Sasa vilaza ndo wanalalamika wanaona maajabu. Jamani ni kawaida tu msishangae tunachapa kazi. Na zote zitakamilika kwa 100% tumpe nafasi rais wetu achape kazi vilaza acheni kulalamika.
Usifikirie kama unaendesha familia yako fikiria kama unaendesha nchi. Hatutaki twende na kimoja kimoja nchi kubwa hii hatuta fika kwa wakati tunaotaka.
Tumechelewa mno, tumeibiwa mno.
Badala ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya rais wetu watu tuache kubeza juhudi hizi. Tumshukuru Mungu ampe afya njema rais wetu ili tufike mbali. Baada ya kipindi chake yawezekana tusipate mwingine kama huyu.
Tuache genius wetu afanye kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ya nyumbu genius lazima aongee kiingereza pyuuuu! Nyumbu bhana !!!!Genius gani hata kingereza hajui
Aliomba kura zetu ili ayafanye hayo mi sioni ajabu, mfano ukiwa baba ni haki yako kuwanunulia watoto wako ngua na kuwatimizia mahitaji yao, kwahiyo hakuna jipya,Katika kipindi kifupi cha miaka 4 tumeshuhudia Rais wetu akisimamia kwa nguvu miradi mingi yenye thamani kubwa ya fedha na yote inatambaa kwa nguvu na speed kubwa.
Ni katika nchi hii tuliaminishwa kuwa hakuna hela, hela zinapatikana nje ya nchi tu. Lakini leo mheshimiwa rais amesema hela zipo hapa na nje hatoki na miradi inakwenda vizuri. Ni lazima tujiulize hizi hela zilikuwa wapi?
Badala ya kulalamika tujifunze mbinu anazotumia kupata fedha. Tuache kufanya kimoja kimoja kama tunaendesha familia zetu. Tukumbuke hii ni nchi siyo familia.
Rais wetu ana akili nyingi sana.
Tena katika kipindi cha miaka hii minne hata wazungu wasingeweza kwenda na hizi multiple and giant projects Kwa wakati mmoja. Only geniuses can do this.
Kwa wakati mmoja amefanya yafuatayo na yote yanatambaa.:
1. Ujenzi wa barabara zote zinaendelea na zina kamilika kwa wakati.
2. Ujenzi wa bwawa la umeme unaendelea na mkandarasi yuko sight
3. Ujenzi wa hospitali na vituo vya afya umekamilika kote nchini
4. Ujenzi wa stand za kisasa za mabasi nchi nzima
5. Ujenzi wa masoko nchi nzima
6. Ujenzi wa machinjio za kisasa
7. Ujenzi reli unaendelea
8. Ununuzi wa ndege
9. Uanzishwaji wa viwanda nchi nxima. Hadi sasa viwanda vimefufuliwa na kujengwa upya zaidi 4000.
10. Madawa supply ipo constantly kuanzia ngazi ya zahanati hadi hospitali ya taifa
11. Usambazaji wa umeme mijini na vijijini unaendelea kwa kasi
12. Elimu bure inaendelea
13. Mishahara inalipwa kwa wakati.
14. Upanuzi wa viwanja vya ndege
15. Kuhamia Dodoma walisema hawezi sasa ameweza. Na amejenga temporary offices za wizara na permanent Ikulu.
16. Ujenzi wa hospitali ya uhuru
17. Ununuzi wa vivuko na meli
Yote haya yanakwenda kwa wakati mmoja. Only geniuses can do this coz anakuwa na planning.
Sasa vilaza ndo wanalalamika wanaona maajabu. Jamani ni kawaida tu msishangae tunachapa kazi. Na zote zitakamilika kwa 100% tumpe nafasi rais wetu achape kazi vilaza acheni kulalamika.
Usifikirie kama unaendesha familia yako fikiria kama unaendesha nchi. Hatutaki twende na kimoja kimoja nchi kubwa hii hatuta fika kwa wakati tunaotaka.
Tumechelewa mno, tumeibiwa mno.
Badala ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya rais wetu watu tuache kubeza juhudi hizi. Tumshukuru Mungu ampe afya njema rais wetu ili tufike mbali. Baada ya kipindi chake yawezekana tusipate mwingine kama huyu.
Tuache genius wetu afanye kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapinzani walivo mafala wameishiwa hoja hawana hata kwa kukosoa, njooni mpinge kuwa hayo yanayoelezwa hapo hayajafanyika.
Mkuu
Amekamilisha ujenzi wa hospital ya rufaa ya mkoa wa Mara (kwangwa). Ilianza kujengwa na mwl jk Nyerere hakuikamilisha akaishia ujenzi wa msingi. Ni zaidi ya miaka 30 lakini Chuma cha chato kimeikamilisha ndani miaka mi4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cra'p!Sawa JPM ni mwizi, wewe je?
Cra'p!
Cra'p!Mkuu unaweza kutusaidia tutani maana hili neno ''Cra'p!'' hata kwenye Oxford English dictionary halipo ni la kibwiko?
Kama anajiamini na hayo yote kwanini aogope Wapinzani sasa?Hivi mnakwama wapi nyie wapinzani, msipokua makini Magufuli atawafunika mpaka mkose pakutokea, hamuna hoja, mumeishiwa kabisa, kama mtakwenda hivi kwenye uchaguzi wa 2020, bila shaka mtaisha na kufutika kwenye daftari.
Mleta mada ameleta hoja za maana sana zinazopaswa kujadiliwa ili Watanzania watathmini maendeleo ya rais, nyie mnajibu kwa vituko.
Shs ngapi mm hainihusu. Ninachoangalia ni kukamilika kwa hosp ilihoshindikana kukamilika kwa awamu zote 4Hiyo hospitali imejengwa kwa shilingi ngapi, usije ukasifia kitu kwakua hakikujengwa kwa uzembe basi usifie kisa imejengwa sasa. Weka figure ya huo ujenzi.
Phd ya jiwe imekula kichwa cha Ben baada ya kuanika ukweliPhD yake ulimwandikia wewe. Kwani lazima English ajue. Nchi ngapi hata hawajui English and yet they are ommunicate.
None sense.
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course ni 'jinius' kwa kukutia ujinga wewe na wenzako na kuwafanya muamini kuwa nyinyi nyote ni mali yake, kama ng'ombe vile wanaofugwa na mfugaji.Tuache genius wetu afanye kazi.
Umeelewa kilichoandikwa lakini? Hivi ukiambiwa kuna mtu ni genius na amesoma elimu yake yote hadi PhD kwa Kichina lakini huyo genius hajui Kichina utaona ni jambo la kawaida?Kumbe kujua english ndiyo kigezo cha kuwa genius. Nchi zisizoongea kiinglish zote hazina genius persons!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shs ngapi mm hainihusu. Ninachoangalia ni kukamilika kwa hosp ilihoshindikana kukamilika kwa awamu zote 4
Sent using Jamii Forums mobile app