Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awali hata ya uoga haikuwepo.hata hiyo ya uoga tuliitamanirushwa hajakomesha na hatoweza!kuhusu nidhamu makazini ni kweli tuna nidhamu ya UOGA!
Bora uoga kuliko uzembe na ubadhirifukurejesha nidhamu makazini au ni kuleta HOFU na WOGA kwa watumishi?
Watanyooka tuWatu wana sema kaleta nidhamu.nidhamu hailetwi kwa kufukuza watu hovyo na kutoa kauli za vitisho. Mngefahamu watumishi wanavyomfanya huyu jamaa mngesikitika sana
We umeamua kuwa mwongo sana.Hakuna kipindi rushwa imekomaa kama wakati huu, tumewazidi hata Kenya kwa rushwa, kaamua kuendesha nchi kama bar yake mambo anajiamulia tu anayoona yeye, ukweli kufeli kuna kiwango huyu kafeli kwa kiwango cha mwisho,
Unatumia ubongo vzr?Yote hayo hayana tija
Unavyosema ubungo ni msaada wa worldbank1.Mradi wa Airport terminal 3 ni wa siku nyingi mchakato wake ulianza enzi za Mkapa (waulize wakazi wa Kipawa na Mamlaka ya Viwanja.vya ndege) na Ujenzi ulianza wakati wa Kikwete sioni kwa namna gani unautaja kama sehemu ya mafanikio ya Mheshimiwa Magufuli
2. TAZARA flyover ni msaada wa Mjapani
3. UBUNGO interchange ni msaada wa World Bank unaingizaje hii kuwa mafanikio.
4. Dar Metropolitan City mradi wa barabara zote za ndani ni ufadhili wa IDA
5.Kununua ndege sio mafanikio,mafanikio ni kuendesha ATC kwa faida. (kuanzisha biashara ni jambo moja na kufanya biashara kwa mafanikio ni jambo lingine)
Najua yapo mafanikio kwa serikali ya Mheshimiwa Magufuli lakini ungeegemea katika bajeti ya 2016/2017 je wametekeleza miradi mingapi ya maendeleo?
1.Ulisikiliza bunge la bajeti mwaka jana?(nina kalabrasha hapa la orodha ya miradi ambayo.iliombewa pesa ili itekelezwe)
2.Serikali imekiri kuwa imetekeleza kwa asilimia ishirini tu orodha yote ya miradi ya mwaka wa fedha unaoisha. Bado unaona haya ni mafanikio?
Embu tuwe serious kidogo!
3.Umesikiliza au kusoma muhtasari wa ripoti ya CAG bado unaona kuna tofauti na miaka iliyopita?
Una hamu ya kusikia gwajima atarudijeWajameni msiwe wajinga wa kuweza kupambanua mambo. Issue ya Makonda imekuwa hot kwa kipindi kirefu sasa! Kuna watu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu yake. Sasa kama imetokea fursa mwenyewe anataka kuweka mambo hadharani na ku clear doubt, whats wrong. Ana haki kama binadamu yoyote. Tatizo hapa kuna wale waliokuwa wamelishwa sumu na wakaimeza wanaona kama mambo yatakuwa tofauti basi wanaweza poteza uhai. Lets all face it. Na tusikilize kwa makini ili kama kuna propaganda za uongo watu walikuwa wanazifanya basi waombe msamaha na kama kuna ukweli basi mwenyewe atatupa way forward. !..
![]()
Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.
Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.
Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.
Mpaka sasa kaweza kujenga
Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2
Nyingine 3 ziko mbioni kuja.
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
12/4/2017
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya mtwara tandahimba