Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
Kufuta mikutano ya kisiasa hadi kipindi cha kampeni ya uchaguzi ujao.
 
Kwel nmeamn wanadam huangalia mabaya tu,, kiukwel bila huyu jamaaa nchi cjui ingekuwa wap now,, amejitahd kwa kiasi kikubwa sana na kiukwel m namuunga mkono Rais Magufuli kwa juhud zake hapa kaz tuuuu,,
 
Hakuna kipindi rushwa imekomaa kama wakati huu, tumewazidi hata Kenya kwa rushwa, kaamua kuendesha nchi kama bar yake mambo anajiamulia tu anayoona yeye, ukweli kufeli kuna kiwango huyu kafeli kwa kiwango cha mwisho,
We umeamua kuwa mwongo sana.
 
1.Mradi wa Airport terminal 3 ni wa siku nyingi mchakato wake ulianza enzi za Mkapa (waulize wakazi wa Kipawa na Mamlaka ya Viwanja.vya ndege) na Ujenzi ulianza wakati wa Kikwete sioni kwa namna gani unautaja kama sehemu ya mafanikio ya Mheshimiwa Magufuli
2. TAZARA flyover ni msaada wa Mjapani
3. UBUNGO interchange ni msaada wa World Bank unaingizaje hii kuwa mafanikio.
4. Dar Metropolitan City mradi wa barabara zote za ndani ni ufadhili wa IDA
5.Kununua ndege sio mafanikio,mafanikio ni kuendesha ATC kwa faida. (kuanzisha biashara ni jambo moja na kufanya biashara kwa mafanikio ni jambo lingine)

Najua yapo mafanikio kwa serikali ya Mheshimiwa Magufuli lakini ungeegemea katika bajeti ya 2016/2017 je wametekeleza miradi mingapi ya maendeleo?
1.Ulisikiliza bunge la bajeti mwaka jana?(nina kalabrasha hapa la orodha ya miradi ambayo.iliombewa pesa ili itekelezwe)
2.Serikali imekiri kuwa imetekeleza kwa asilimia ishirini tu orodha yote ya miradi ya mwaka wa fedha unaoisha. Bado unaona haya ni mafanikio?
Embu tuwe serious kidogo!
3.Umesikiliza au kusoma muhtasari wa ripoti ya CAG bado unaona kuna tofauti na miaka iliyopita?
Unavyosema ubungo ni msaada wa worldbank
Unamaanisha hatuwalipi

Kama tunawalipa usisema msaada
Na unanena hayo maana unachuki na serikali ya awam hii
Apo isiokuwepo ni ya terminal3 tu maana nayo imejengwa kwa mda wa JK
zilizoanza chini ya magufuli ni zake maana yeye ndo kapitisha pesa
 
Ongeza na bashite hapa, au huoni kama ni mafanikio kuwa na RC kama huyu.?
Wajameni msiwe wajinga wa kuweza kupambanua mambo. Issue ya Makonda imekuwa hot kwa kipindi kirefu sasa! Kuna watu wanashindwa kufanya kazi kwa sababu yake. Sasa kama imetokea fursa mwenyewe anataka kuweka mambo hadharani na ku clear doubt, whats wrong. Ana haki kama binadamu yoyote. Tatizo hapa kuna wale waliokuwa wamelishwa sumu na wakaimeza wanaona kama mambo yatakuwa tofauti basi wanaweza poteza uhai. Lets all face it. Na tusikilize kwa makini ili kama kuna propaganda za uongo watu walikuwa wanazifanya basi waombe msamaha na kama kuna ukweli basi mwenyewe atatupa way forward. !..
Una hamu ya kusikia gwajima atarudije
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg


Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kaweza kujenga

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2
Nyingine 3 ziko mbioni kuja.
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
12/4/2017
Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.

Ujenzi wa barabara ya mtwara tandahimba
 
Mafanikio ni pamoja na kuleta elementi za chuki katika Jamii iliyozoea upendo
 
Magufulu amefanikiwa kurudisha kujiamini kwa wakristo wa Tanzania, ilifikia hatua sote tulitaka kusilimu so that we can get the share of national cake.
 
Marais wawili waislamu walikuwa na udini wa hali ya juu. Yaani Mwinyi na Kikwete walifikisha pahala hata wakristo tunaona aibu kwa majina yetu. Mkapa hajasaidia kwa sababu alikuwa na miondoko ya kizalendo zaidi.
 
Natamani Magufuli awakumbuke na Watanzania wa Visiwani wenye asili ya Bara, wanazuiwa wasipige hatua kwa makusudi. Mambo ya kuzushia ndio mtindo mmoja
 
Back
Top Bottom