Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021
Mafanikio :
Pigeni mbizi
Sipangiwi
Wanajamiiana jela
Nitapiga mashangazi
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
baba huwa hasifiwi kwa wajibu!!!! imekuwa issue siku hizi....... aliyoharibu ni mengi kuliko hayo uyasemayo....
 
Yule aliyezoea utapeli, wizi wa mali ya umma serikalini, Zitto Kabwe, Lissu, Lema, wanafiki wa TLS, Wafanyakazi waliotumia majina ya watu kupata ajira, wababaishaji, hawatopenda habari hizi.
 
John Maxwell ktk kitabu Developing the Leader Within You, 1993, uk 5&6, anatofautisha bosi na kiongozi: Bosi huwapelekesha wafanyakazi, bali kiongozi huwaelekeza. Bosi hutegemea mamlaka aliyonayo, bali kiongozi huongoza kwa mapenzi mema. Bosi huwajengea hofu wafanyakazi, bali kiongozi hujenga hamasa. Bosi hutamka "mimi" wakati kiongozi anatamka "sisi." Bosi anawalaumu wafanyakazi kwa kasoro zilizojitokeza, wakati kiongozi anarekebisha kasoro. Bosi anajua kazi inavyofanyika, bali kiongozi anaonesha inavyofanyika. Bosi anasema, "nendeni" wakati kiongozi anasema " twendeni."
 
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
Mkuu umesahau Ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa chato
 
HII SI UNAKUMBUKA EXPANSION JOINT?

Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
HILI LA NDEGE SI UNAJUWA TUMESHAPATA HASARA MFULULIZO?

Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo....
KWENYE HII NAKUBALIANA NA WEWE

Upanuzi wa Airport Mwanza
SINA UHAKIKA

Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
KWENYE HII NAKUBALIANA NA WEWE INGAWA SI JAMBO LA RAISI KUSIFIWA, WAZIRI WA UJENZI ANGEHUSIKA

Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
HII HAKUIKUTA?

Kukomesha Rushwa
HAPA NAPINGA...... IPO BADO WALA HAJAKOMESHA... NA WIZI UPO, SI UNAKUMBUKA 1.5T?

Kurejesha nidhamu Makazini.
HAKUNA NIDHAMU ILA NI WOGA TU UMETAMALAKI
 
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
BEI NZURI ZA MAZAO KAMA KOROSHO, PAMBA N.K na kuwawezesha wakulima sehemu mbalimbali hapa nchini kuboresha maisha yao Wakulima hao ni pamoja na sisi wa huku Tandahimba. Unasemaje?
 
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
Pia pyu pyu pyu!
Na roho mbaya ya kufa people.
Rambi rambi kulambwa.
Bomoa bomoa kwa wasiompigia kura.
Wafanyakazi kuula wa chuya.
Mfumuko wa bei kupaa.
Makinikia kuyeyuka.
MBWEMBWE ZINAPUNGUA .
 
10102ac521314716b0cdeb7f1e57ec04.jpg

Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda.

Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu Juu ya Nchi ya Viwanda na Elimu Bure nk.

Unaruhusiwa kugusia miundo mbinu, Afya, Usafiri, Maendeleo ya Majeshi Yetu, Uvuvi,Michezo, Habari, Siasa, Viwanda,Teknolojia, Pato la Taifa nk.
Ila tu iwe kwa tulipotoka na Alipofanikiwa na nini tufanye kumsaidia kujiongeza zaidi.

Mpaka sasa kafanya haya;

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 ziko mbioni kuja).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dsm
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.
------------

Na haya ameanza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga
kwasasa watu hawawezi kumuelewa huyu Mzee ila akiachia ngazi ndo watajua kazi aliyokuwa anafanya
 
Tangu aingie madarakani zile Statutory annual increment kwa watumishi wa umma kaziondoa, haya ni maendeleo makubwa kwa mjibu wa mleta uzi?
Mabenki takribani matano yamefungwa haya ni maendeleo?
 
Wapo wanaokula mlo mmoja ...

Wapo waliofilisika ...

Wasiojua kesho yao itakuwaje ...
 
Kafanya mambo mengi sana zaidi ya hayo uliyoyataja,kikubwa tukifikia swala la Maendeleo tuweke mbali,tofauti za vyama ili nnchi ifaidike kwetu wote,
 
Back
Top Bottom