Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Ajira inakuja hivi.: kwanza kutengeneza barabara kunleta ajira kuanzia mkandarasi, vibarua mpaka mama ntilie. Pili barabara zikiwa tayari usafiri unakuwa wa uhakika kutokana na hilo ukijiongeza unaweza kuona wingi wa ajira kutokana na kuwepo barabara (miundo mbinu kwa ujumla).Uko sahihi sana, tatizo pekee la wananchi wa nchi hii ni barabara pekee yake, ajira kwako sio jambo muhimu?