Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Ila la kutumia mabilioni yetu katika mchakato wa Katiba mpya kisha kuitupa kapuni hili limeharibu yote mema aliyofanya. Katuachia msala mkubwa sana.

Nani kaitupa katiba mpya kapuni?
JPM ndo kazuia mchakato usiendelee mbele, JK aliacha phase ya kura ya maoni ifuate, JPM kaja kapiga chini process nzima!.

Kama ulitaka ile ya Warioba ndo iwe yenyewe bila kupelekwa katika bunge la katiba na kufanyiwa marekebisho basi inaelekekea hukusoma sheria ya mabadiriko ya katiba inasema nini!. Sidhani kama ulitaka JK aingilie kati na kuimpose view yake katika jambo nyeti kama lile!.

Sheria ilitaka bunge la katiba liwepo, na likawepo, sasa yaliyotokea huko ukimlaumu JK utakuwa haumtendei haki labda kama ulitaka awapige rungu CCM wafuate anavyotaka yeye!!!
 
Lakin aliepewa hiyo nafasi mbona anamchukulia poa tu
 
Sasa mnaposema kuwa miaka minne ya magufuli amefanya makubwa kuliko awamu zote mnapatawa jeuri hiyo?
 
Dah nimekusoma vyema mkuu umefunguka vyema sana
 
acha UPUNGA wewe hawa
Ukiondoa CDF tu , IGP, CGP, CGF
hawa ni wakwere?
mbona unaPANIC au kichwa tupu mnajimwambafy
tulia dawa ikuingie hakuna zaidi ya mkwere hata kwa Roho nzuri
 
Hii pia ilimsaidia sana kuwa na uwazi katika serikali. Maana mijadala huru hadi kupelekea kashfa nyingi kuibuliwa. Wristleblowers tulivujisha sana habari nzito na zikatikisa nchi.

Deal zilikuwa nyingi sana tena bila mizengwe.
 
Tuachane na utoto, Mwinyi aliwahi kusema kwamba kila kitabu kina zama zake, hivyo alikuwepo Nyerere, na uzuri wake na Mapungufu yake, akawa Mwinyi na uzuri wake na Mapungufu yake, akaja Mkapa hivyo hivyo na JK tukawa na mategemeo yetu ya ukijana na modernity etc na sasa Magufuli na "ushamba" wake anayo mazuri yake na Mapungufu yake , mwisho wa siku naye atasemwa kwa uzuri wake na wengine kwa mapungufu yake. Hivyo hakuna haha ya kuingia kwenye malumbano ya kitoto ya kwamba Baba au Mama wa fulani ni Not a zaidi ya Wazazi wa fulani.
 
Reactions: nao
[/QUOTE]
Miradi yote aliyotekeleza Kikwete gharama zake hazifikii gharama za mradi mmoja wa bwawa la umeme linalojengwa na Magufuli achilia mbali miradi mingine mingi iliyomalizika na inayoendelea.
 

Mkuu haya yamekuja baada ya kuona Mzee wetu kila siku anasimangwa na makada wenzie kana kwamba hakuna alichofanya hivyo sio vyema likapita hivihivi bila ukweli kusemwa ili kila kitu kijulikane maana wengine inawezekana ni wadogo hawakuishi zama za JKN, AM, BWM na JK..

La Msingi pia ni makada,wafuas na wapenzi wa CCM kuacha unafiki na kugeukana kwa kuangalia upepo baadala yake wasimamie ukweli, haki na wawe wazalendo wa kweli..

Raisi wetu JPM afahamu pia amezungukwa na wanafiki wa CCM wapo kimaslahi na kuangalia mvumo wa upepo hata kesho tu upepo ukibadirika watamgeuka hata yeye na kumsema ila ni sisi wazee wa fact ndio tutasimama naye na kuwaambia makada wenzie mnamuonea Mzee wetu alitenda hili na lile jema kwa Taifa yetu na mumuache Mzee wetu apumzike... Makada wa CCM wanahistoria mbaya juu ya wazee wetu kuanzia JKN, Mwinyi, BWM na JK ikumbukwe mpaka mzee Warioba alikulaga vibao wakati fulani kilichotokea kwa JKN wakati wa ubinafsishaji kila mtu anajua...
 
kosa jengine kubwa sana ambalo limeyeyusha yale mengi alioyafanya ni pale alipoitwanga na chini rasimu ya Warioba.
 
Vipi anarudi tena au una mapenzi naye tu! Maana naona kumbe hata MOI ilijengwa na Kikwete! We bomu kweli!
35. Ongeza safari za nje tulikwenda sana!
36. Tulipata posho za safari na mikutano sana!
37. Vituo vya mafuta vilijengwa sana!
38. Petroli ilichanganywa na mafuta ya taa sana!
39. Posho za bunge zilipandishwa hadi laki 3
40. Idadi kubwa ya wabunge wa CCM walishika nafasi ya uwaziri japo kidogo
41. Tuliburudika sana na madawa ya kulevya mitaani kwetu
42.

Kwa kushindwa kutuletea Katiba mpya, endelea kuandika huo uchafu unaoita ni mafanikio bila kutueleza pesa yetu ilikwenda wapi kwa miaka kumi. Kipato chetu cha sasa hakistahili kuwekewa listi ya miradi ya bilioni chache kiasi hicho wakati bajeti yetu ni ya trilioni.
 
Miradi yote aliyotekeleza Kikwete gharama zake hazifikii gharama za mradi mmoja wa bwawa la umeme linalojengwa na Magufuli achilia mbali miradi mingine mingi iliyomalizika na inayoendelea.[/QUOTE]Sasa huo mradi umekamilika au hivi kujenga barabara zalami urefu jumla klm 14000 madaraja makubwa zaidi ya klm 1 yapo zaid ya sita halafu unalinganisha namradi uliotolewa kishika uchumba cha b650 mradi t6
 
Jiwe na waimba kwaya wake hawatambui hata moja hapo
 
hayo yote yalifanywa na wana CCM,nawe ni muimba kwaya tu WTF
 
Nilishasema humu jf kama kinywa changu kiliwahi kumsema vibaya JK naomba Mungu anisamehe
Mimi ongeeni yooote ila kubwa namshukuru sana mzee JK alinikopesha nkasoma elimu ya juu tena bila shida yoyote. Wazee wangu wasingeweza ila JK aliweza.
 
acha UPUNGA wewe hawa
hawa ni wakwere?
mbona unaPANIC au kichwa tupu mnajimwambafy
tulia dawa ikuingie hakuna zaidi ya mkwere hata kwa Roho nzuri
Wewe kweli ni kitomfyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…