Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo Jema, umalize mkopo wako kama bado wengine nao wafaidike.
Naona mmeanza kasifiaa sabiri sindano ndo ipo inaingia tuliza kalio nduguKumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya.
Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya.
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Mwamba Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.
Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?
Hivi huyo wanaemtukuza amefanya jambo gani kubwa linalofikia hata robo ya mkubwa aliyoyafanya Kikwete?
Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.
Naomba nawe utukumbushe Mambo makubwa yaliyofanywa enzi za Jakaya.
Tiririka .....
Kasome deni la taifa la miaka minne ya jiwe halafu uje ulinganishe na deni la miaka 10 ya jk.halafu uludi hapa.Unalinganisha kwa mizani gani? Miaka minne kea miaka kumi?
Tuache ubabaishaji
Huo Mtandao uliomsumbua Kikwete ulikuwa wa Lowasa.Ulimsumbua kipindi chote Cha utawala wake.Akalipa kisasi kwa kumpiga chini Lowasa kiongozi wao na Magufuli akaja kupigilia msumari kwa kuusambaratisha uliokuwa umebakia serikalini na mashirika ya umma na vyama vya siasa ikiwemo CCM ,UKAWA akina chadema na CUF na ACT wazalendoKikwete Kilichomponza Ni Mtandao Uliojipenyeza Kwenye Serikali Yake Na Kutengeneza Corrupted Ruling System. Kwa Kuwapa Fadhira Waliomuweka Madarakani, Ndio Maana Alipambana Kumzuia Lowassa Kwenda Ikulu Ili Yasijirudie Yakwake.
All In All Aliyoyafanya Mazuri Ni Mengi Kuliko Mabaya Yake Mnyonge Mnyongeni Lakini Haki Yake Mpeni"
JK hakukopa? Alichofanya ni nini zaidi ya kula bata majuu mpaka kuku wakaona wivu?Kasome deni la taifa la miaka minne ya jiwe halafu uje ulinganishe na deni la miaka 10 ya jk.halafu uludi hapa.
Kama hujatamani kukimbia nchi.
Kikwete akisimama kutaka kugombea uraisi atapita bila kupingwa na chama chochote Upinzani hauwezi simamisha mgombea washashika adabu washamuomba samahani Sana mbona kuwa walimwonea awasamehe.Nilishasema humu jf kama kinywa changu kiliwahi kumsema vibaya JK naomba Mungu anisamehe
Niwahakikishieni Leo akisimama Jakaya kusema twende tukajiandikishe..Umati mkubwa utatililika kwenda.
JK hakukopa? Alichofanya ni nini zaidi ya kula bata majuu mpaka kuku wakaona wivu?
Halafu hela zinazokopwa zinaenda kwenye miradi ya maendeleo. Kama tunataka kwenda vizuri mikopo nayo lazima itumike vizuri.
Nina shaka kama huu ni muda muafaka wa kuanza kulinganisha. JK, kama Rais mstaafu ana heshima yake kubwa tu. Tuilinde. Hii milinganisho isije ikafungua makabati yenye siri
Kuna wengine watazama maxima. Wengine wanaelea salama tuUkitaka kufungua makabati anzia JKN, AM, BWM na JK halafu uone kama kuna atakayebaki salama..
hakuna elimu bure Tanzania serikali inatoa ruzuku kwenye elimu tu. msituchoshe na viswahili vyenu vya kishambaTumenunua ndege
Stiglers
Korosho tumpandisha bei
Elimu bure
Mijamaaa mijinga sana
Habaki salama hata waziri yeyote wa kipindi hicho Cha hao maraisiUkitaka kufungua makabati anzia JKN, AM, BWM na JK halafu uone kama kuna atakayebaki salama..
sema kisukuma nikueleweWewe kweli ni kitomfyo...
[/QUOTE]Jk hakuwahi kulazimisha watu wakajiandikishe ili wapige kura bali watu walivutiwa na siasa safi iliyokuwepo kipindi hicho,,,,,,,,,,Magufuli afanye yake kujilinganisha na Jk ni sawa na mlima Kilimanjaro ulingane na kichuguu,,,,jk was the best hapana wa kumfata iwe mkapa hata magufuli
Aliweza kuonge mshara kila mwaka,lakini sasa mnashindwa kufanyahivyo.JK hakukopa? Alichofanya ni nini zaidi ya kula bata majuu mpaka kuku wakaona wivu?
Halafu hela zinazokopwa zinaenda kwenye miradi ya maendeleo. Kama tunataka kwenda vizuri mikopo nayo lazima itumike vizuri.
Nina shaka kama huu ni muda muafaka wa kuanza kulinganisha. JK, kama Rais mstaafu ana heshima yake kubwa tu. Tuilinde. Hii milinganisho isije ikafungua makabati yenye siri