Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Halafu mnakuja tena baadaye kutubania pua kuwa CCM haijafanya chochote!!

Hata huyu akitoka mtakuja kutuorodheshea hivi hivi.

Hizo ni Kodi za Wananchi wote wa Nchi hii ,hazitoki Mifukoni mwa CCM pekee.
 
Huu uzi haumhusu Jpm bali ni wa Kikwete. Tumia akili hata hiyo ndogo uliyo zaliwa nayo maana shuleni hukuambulia
Wewe huwa nakuchukulia kama EMPTE. Sijabadili mawazo yangu. Hunaga point za msingi.
 
Hapo haswaa ndipo wanapo kosea hao vijana wa lumumba.

Wao wanadhania kila mradi unao fanyika chini ya serikali ni mali ya au rasilimali fefha za wana ccm pekee yao.
Hizo ni Kodi za Wananchi wote wa Nchi hii ,hazitoki Mifukoni mwa CCM pekee.
 
Hakika ni viroja kwa mtu mwenye uelewa kama wewe kubishana na mtu Empty kama mimi naona unazidi kupost kwenye uzi wa mtu empty [emoji90][emoji90]
Wewe huwa nakuchukulia kama EMPTE. Sijabadili mawazo yangu. Hunaga point za msingi.
 
Naunga mkono hoja, credit ni aliyemalizia na kuzindua na sio aliyeanzisha, kama ilivyo kwa mzazi aliyezaa mtoto ndie anapongezwa kwa kubeba na sie aliyeipachika, na hata kwenye chakula, unapokula chakula kitamu ukashiba, anayeshukuriwa ni aliyepakua na kukuletea mezani, na sio aliyepika wala aliyenunua.

P
 
Naona unataka kutufundisha kiswahili sasa, hivi mnaona kazi gani kumpongeza Kikwete kwa hayo aliyo yaanzisha?
Naunga mkono hoja, credit ni aliyemalizia na kuzindua na sio aliyeanzisha, kama ilivyo kwa mzazi aliyezaa mtoto ndie anapongezwa kwa kubeba na sie aliyeipachika, na hata kwenye chakula, unapokula chakula kitamu ukashiba, anayeshukuriwa ni aliyepakua na kukuletea mezani, na sio aliyepika wala aliyenunua.

P
 
Naona unataka kutifundisha kiswahili sasa, hivi mnaona kazi gani kumpongeza Kikwete kwa hayo aliyo yaanzisha?
Anayepongezwa ni aliye malizia na sio aliye anzisha kwa mujibu wa kanuni ya mlaji ni mla leo, mla jana kala nini?.

Hata kwenye yale makitu, ya kale hayanukii..
Mambo yote ni leo.
P
 
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

View attachment 1273382
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Kila Sikh ni kuunga mkono ,huna hoja nyingine

State agent
Naunga mkono hoja, credit ni aliyemalizia na kuzindua na sio aliyeanzisha, kama ilivyo kwa mzazi aliyezaa mtoto ndie anapongezwa kwa kubeba na sie aliyeipachika, na hata kwenye chakula, unapokula chakula kitamu ukashiba, anayeshukuriwa ni aliyepakua na kukuletea mezani, na sio aliyepika wala aliyenunua.

P
 
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

[emoji117]Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

View attachment 1273382

Sipendi watu wanaopenda kuwaita wenzao “wazee”!

Ni kujikosha fulani kujichetua kwamba yeye ni “kijana” zaidi,anasema “mzee” as if anatoa heshima kumbe ni unafiki mtupu!

Kama mawe,kila mtu anamuita “mzee” as if yeye ni kijana sana kumbe age gap range ni 5-10years

“Mzee”,”mzee”,”mzee”,.....mzee my ass!
 
Back
Top Bottom