Hapa amelengwa personal kwa sababu ya unyama anaowafanyia watu.Mafwele ni mtu mdogo tu kuna viongoz wa juu. Matter of facts hata mali zao ilizopo nje zidhobitiwe
Huyo mtu hajitambui.Mafwele akigusa Mtu tena Case yake ikaenda Mahakama za Juu za nnje ya TANZANIA wanakuja mchukua kama maduro...labda saivi asiguse watu wenye nguvu ila akiji changanya tu Kapotea na kwasasa hawezi fanya tena kitu hii imemchafua kiufup ataomba DESK JOBs not otherwise...
Waziri wa mambo ya nje ndiye sura na sauti ya nchi kimataifa.Kwani lazima awe waziri wa mambo ya nje, na je unafahamu kwa sasa ni waziri wa maigizo na michezo?
Mlamba mav wa Kahaba Chura kama kawaida upo siti ya mbele kupigania nguvu ya buku 7Shida ya nyie Chadomo mna akili ndogo sana.Nimeuliza kwamba Mafwele sio wa kwanza kuzuiwa alishazuiwa Bashite Kwa madai hayo hayo.
Swali nyie inawanufaishaje Kisiasa? Je huyo Jamaa ana kipi Cha kujutia kitakachowasaidia nyie Kisiasa? Mbaya zaidi wamewataja Wakenya kwamba ndio wa maana.
Tungesikia kwamba amekamatwa ingekuwa jambo la maan Sasa kuzuiwa ndio nini? Kuna ulazima wa kwenda huko USA?
Harafu nyie wapumbavu Huwa mnasingizia Wazanzibari,huyo Mafwele ni Mzanzibari wa wapi?
Stori za kwenye kahawa...Nani alikwambia Mtanzania hawezi kupata visa ya Marekani, hujui Kikwete clinic yake hufanyia huko, huna infos zozote.
Unawaza kwa uvivu sana, kwa tz hii unaweza ukala ban na bado mambo yako yakakuendea. Ni kama mtu bado ana mawazo ya miaka ya 90 ndio ataona ban ya marekani ina matter.Waziri wa mambo ya nje ndiye sura na sauti ya nchi kimataifa.
Lakini kuwekewa hio ban kimemlamba pakubwa tu..
Na US wakiku kataa hata mfumo wao wa SWIFT na wenyewe haukutambui..
Hiyo sio adhabu hata kidogo!Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemtaja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania (TPF), Faustine Jackson Mafwele, chini ya Kifungu cha 7031(c), ikisema kuna taarifa za kuaminika zinazomhusisha na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Uamuzi huo unamzuia Mafwele kuingia nchini Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mwaka mmoja uliopita baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania waliwakamata, kuwatesa na kuwafanyia ukatili wa kingono mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire na mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi, waliokuwa jijini Dar es Salaam kufuatilia kesi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu.
Tangazo hilo la umma limetolewa chini ya Kifungu cha 7031(c) cha Sheria ya Bajeti ya Usalama wa Taifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Programu Zinazohusiana ya mwaka 2026 (Div. F, P.L. 119-75).
Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Tommy Pigott.
Pia soma:
1. THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda wanashikiliwa na Jeshi La Polisi
2. Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula
3. Agather Atuhaire asimulia alivyoteswa na kufanyiwa ukatili na polisi wa Tanzania, hili ni doa kubwa kwetu
4. Boniface Mwangi amepigwa na kuteswa na mamlaka za Tanzania na kutelekezwa Ukunda, familia yake yathibitisha
5. Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire
6. Agather Atuhaire na Boniface Mwangi Waishtaki Tanzania kwa Unyanyasaji wa Haki za Binadamu, Mahakama ya Afrika Mashariki
7. MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi
ngoja tudadavue kimatumbiWabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatupeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio personal ni kwa capacity ya madaraka yake na inatoa message kwa serikali kidiplomasia watu wanauliza inamuaffect vipi? Kwani anajua hata Marekani huyu jamaa? Hata km kwenda hana namna zaidi ya kupelekwa na serikali kwa kozi, semina, mkutano etc. Maana ya government official ban ni kwamba inaonyesha
If a government official is banned from entering the United States, the effects on their home country can range from minor embarrassment to significant diplomatic or economic consequences, depending on the official’s rank and the reason for the ban.
Common effects include:
- Diplomatic strain
The ban may signal deteriorating relations between the U.S. and that country. It can reduce trust and cooperation.- Damage to international reputation
If the ban involves corruption, human rights abuses, sanctions violations, or security concerns, it can affect the country’s global image and investor confidence.- Reduced diplomatic engagement
The official may be unable to attend:
- bilateral meetings in the U.S.,
- UN-related activities in New York (though special rules sometimes apply),
- World Bank/IMF meetings in Washington, D.C.,
- trade or security negotiations.
- Internal political pressure
Opposition parties or the public may question the government’s credibility, ethics, or international standing.- Possible sanctions expansion
In serious cases, bans on individuals can precede:
- financial sanctions,
- aid restrictions,
- military cooperation limits,
- or broader measures against government entities.
- Economic implications
If the official oversees finance, trade, defense, or foreign affairs, the ban can complicate:
- foreign investment,
- banking relationships,
- development funding,
- procurement deals,
- and international partnerships.
- Reciprocal retaliation
The home country may respond diplomatically by restricting U.S. officials or reducing cooperation.
However, many individual travel bans have limited direct impact on ordinary citizens unless they escalate into broader sanctions or diplomatic conflict.
Kimsingi hii inamlenga mama yao na serikali yake na inamuaffect kila mtanzania kwa njia moja au nyingine, hii sio nzuri na inaonyesha wanakuja wengine na uhusiano wa kimataifa unazorota kwa US na nchi zingine za kidemokrasia zitachukua hii.kama precedence, yani upewe ban na US uende New Zealand? Akili fupi hii
Yeah,Huyo huyo shetani anaezidi kutuua watanganyika.
Hata hii issue ya Djumbe yeye ndo boss wa wale wapuuzi.
Huyo mjinga yafaa auawe na mwili wake tuna oka ndafu kwajili ya mbwa wetu wa Tanganyika.
Mlamba mav wa Kahaba Chura kama kawaida upo siti ya mbele kupigania nguvu ya buku 7
🚮🚮Marco Rubio kijana pendwa wa trump, sio mda mwamba JD Vance atamuuma sikio Mzee baba trump wafanye unyakuo mahala.
Unajikutaga genius!
PIGA KAZI KAKA, MJINI KILA MTU ANAINGIZA PESA KWA STYLE YAKE
Kwa mtu mwenye akili ndogo hawezi kuelewa athari ya hichi kitendo cha kumpiga marufuku huyo Mafwele kukanyaga Marekani.Kutokwenda marekani kuna hasara gani?,cdm mna shida sana.
Wabongo tushakua akili maji sana siku hizi sijui elimu yetu inatupeleka wapi siku hizi! Huyu ni afisa wa serikali na ban yake sio personal ni kwa capacity ya madaraka yake na inatoa message kwa serikali kidiplomasia watu wanauliza inamuaffect vipi? Kwani anajua hata Marekani huyu jamaa? Hata km kwenda hana namna zaidi ya kupelekwa na serikali kwa kozi, semina, mkutano etc. Maana ya government official ban ni kwamba inaonyesha
If a government official is banned from entering the United States, the effects on their home country can range from minor embarrassment to significant diplomatic or economic consequences, depending on the official’s rank and the reason for the ban.
Common effects include:
- Diplomatic strain
The ban may signal deteriorating relations between the U.S. and that country. It can reduce trust and cooperation.- Damage to international reputation
If the ban involves corruption, human rights abuses, sanctions violations, or security concerns, it can affect the country’s global image and investor confidence.- Reduced diplomatic engagement
The official may be unable to attend:
- bilateral meetings in the U.S.,
- UN-related activities in New York (though special rules sometimes apply),
- World Bank/IMF meetings in Washington, D.C.,
- trade or security negotiations.
- Internal political pressure
Opposition parties or the public may question the government’s credibility, ethics, or international standing.- Possible sanctions expansion
In serious cases, bans on individuals can precede:
- financial sanctions,
- aid restrictions,
- military cooperation limits,
- or broader measures against government entities.
- Economic implications
If the official oversees finance, trade, defense, or foreign affairs, the ban can complicate:
- foreign investment,
- banking relationships,
- development funding,
- procurement deals,
- and international partnerships.
- Reciprocal retaliation
The home country may respond diplomatically by restricting U.S. officials or reducing cooperation.
However, many individual travel bans have limited direct impact on ordinary citizens unless they escalate into broader sanctions or diplomatic conflict.
Kimsingi hii inamlenga mama yao na serikali yake na inamuaffect kila mtanzania kwa njia moja au nyingine, hii sio nzuri na inaonyesha wanakuja wengine na uhusiano wa kimataifa unazorota kwa US na nchi zingine za kidemokrasia zitachukua hii.kama precedence, yani upewe ban na US uende New Zealand? Akili fupi hii
Kabisa,Wazuie huko juu kabisa, maana huyu shetani hajifanyii tu