Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Jamii ya Kati (middle-class) hizi media kubwa ulizozitaja kwao Ni msamiati.Tumeiona live coverage Al-Jazeera, BBC, Sauti ya Ujerumani, VOA nk inatosha.
Msiwe na haraka, baada ya mazishi ya Kitaifa ya Rais wetu mstaafu, mutazisikia na zote ambazo hamkuzisikiaNimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Toka jana hao ITV sitaki hata kuwasikia,sasa hivi wamekuwa ITVCCM.Hata taarifa za habari wameminya ivi ivo, hadi ITV wanaojiita superbrand ovyo kabisa.
Kumbe wewe uko tayari kuuza utu kwa fedha loh, Lisu si habari kwa sasa hata kidogo.Bila hiyo habari nani atanunua hayo magazet like lililoandika hio habari ndio litauza uandike msiba wa Mkapa utegemee kuuza labda Lumumba ndio watanunua
sasa unategema nini kwenye nchi ya auto-cratic?Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Bonde ndiko elimu ilikoanzia inaelekea hujui hilo, huko wanaangalia CNN, BBC, Sky News, al jazeera, voa na sio vitu vya hovyo vya kuambiwa cha kuandika au kuonyesha.Huko kwenu mwinduro bonde ndani ndani kuna al jazeera!
Mbona iyo inaeleweka wewe chukua wenye simu janja nchini kama 15%kati yao wenye bando 9%wanaomshabikia kati yao 2%sasa utaona ukubwa wake ulitokana na simu janja maana kabla ya magu lisu alikuwa maarufu eneo la bunge na baada ya magu kuchaguliwa akawa maarufu mtandoni baada ya kutengeneza matukio,sasa nikuulize kuna television gani?au radio inayorusha hotuba za lisu zaidi ya online ambazo zinaitaji simu janja.Kwa study ipi?
Radio zimepigwa ban, online hawana uwezo wa kuzicontrol,jiulize Nani huwa anaangalia tv za ndani zenye cooked news na aache habari sahii online.Wengi awatazami cooked news.Mbona iyo inaeleweka wewe chukua wenye simu janja nchini kama 15%kati yao wenye bando 9%wanaomshabikia kati yao 2%sasa utaona ukubwa wake ulitokana na simu janja maana kabla ya magu lisu alikuwa maarufu eneo la bunge na baada ya magu kuchaguliwa akawa maarufu mtandoni baada ya kutengeneza matukio,sasa nikuulize kuna television gani?au radio inayorusha hotuba za lisu zaidi ya online ambazo zinaitaji simu janja.
Naona bonde kaya wamekuja juu!Bonde ndiko elimu ilikoanzia inaelekea hujui hilo, huko wanaangalia cnn, bbc, sky news, al jazeera, voa na sio vitu vya hovyo vya kuambiwa cha kuandika au kuonyesha.
Hivi, kama kila raia atakeyekuwa anashuka JNIA magazeti yana andika hayo ya ujio wao, kweli wahariri wa magezeti tungesema hawana kazi za kufanya. Tanzania ina mambo mengi sana ya kuripotiwa siyo kila raia anayeshuka kutumia Ethiopia Airway aripotiwe, ni mpuuzi tu ambaye anaweza kuifanya hiyo kaziNimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Kuna wakati lazima mukubali kuwa magufuri amefanya kazi ya kutosha kama ambavyo lisu alipata umaarufu kupitia kulopoka ndivyo magufuli amepata umaarufu kupitia kazi,sio kila ambaye anabadili mawazo amebanwa si kweli mfano mimi naamini kuwa upinzani ni muhimu na nivibaya nchi kutokuwa na upinzani lakini kwa suala la magu tuliache kama lilivyo amewajibika vya kutosha.Radio zimepigwa ban, online hawana uwezo wa kuzicontrol,jiulize Nani huwa anaangalia tv za ndani zenye cooked news na aache habari sahii online.Wengi awatazami cooked news.
Hili litakusaidia ujue ni % ngapi chadema watapata kwenye kura October. Kama kuna magazeti 100 na 1 tu ndolimempa ukurasa wa mbele Lissu, basi ni 1% ya kura zote! Kama ni magazeti 50, basi ni 2%.hivyo hivyo fanya mahesabu.Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
cha ajabu ni kipi, definitely wanaogopa kufungiwa. Wathubutu waandike kesho wanaanza kutafutiwa sababu ya faini na kufungiwa. The Obvious!Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Hata waache kuandika. Tuliona live kwenye TV na mitandaoni. Na tukasikiliza redio za inje kama DW na BBC.Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?
Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee.
Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au......?