Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

Maombi yetu Ni kwa MUNGU baba muweza wa yote

Liponye taifa ili .linusuru eeeh!! Baba .

Mioyo yetu haijatulia ,Haina amani .

Tunayoyaona na kusikia Yana staajabisha Kama sio kusikitisha [emoji30][emoji30][emoji30]
 
Majimbo wanaompa kura ndo choka mbaya; hizo kauli hazina mashiko kwa watu wanaojitambua
 

Hivi mwaka 2015 Jiwe aliahidi nini Tunduma?? Yaani miaka yote ya Utawala wa CCM 1961-2020 bado hoja ni MAJI?
 
Bwashee umeshalewa chang'aa c bure
 
Inafikirisha saana....tunerymudi nyuma miaka 30
 
Watuletee hapa jimbo lililo chini ya CCM lenye maendeleo kama ya kutisha. Ambapo hakuna shida za maji,umeme,afya,elimu,miundombinu.

Kama lipo tumpe kura zote..
 
Sasa nini maana ya Uchaguzi ??-- kama Raisi Magufuli ana "blackmail" watu wa Tunduma kwa kupitia maji ambayo ni haki yao kuyapata kama raia wa nchi hii, basi uchaguzi hauna maana.

Na ni dhahiri uchaguzi huu utagubikwa na mizengwe sana.

Ewe Mungu mtukufu tunakuomba utulindie haki na amani ya nchi yetu.
 
Yeye mwenyewe hachaguliwi anataka huyo mwenye nywele shingoni achaguliwe aende wp,
 
Ilani ya chadema haisemi kuleta maji tunduma, wakichagua cdm tutatumia ilani ya cdm kupanga
 
Aache kukusanya kodi ya wakazi wa Tunduma pia. Asiwatolee VITISHO ili wampe kura na pamoja na VITISHO vyake Silinde njeeeee
Kodi itakusanywa na vibanda tutabomoa lami tunabomoa
 
Alishawahi kusema kwamba muda mwingine anakuwa na frustrations zake. Sasa this time naona zimekuwa zaidi.
 
pepo tokaaa ..
 
Hata Tunduma mnalazimishwa kuuza haki zenu ili mpewe maji yenu ambayo yanatokana na kodi zenu, Rais wa nipe kitu kidogo nami nikupe maji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…