Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

Huyo mtu anawaumiza sana,waoga mnaongea baada ya yeye kuondoka.Hana alichobakiza kawa mbunge,waziri na Rais....mtabaki kuguna guna na kufa mtakufa
Kuharibu nchi hujakusema tafadhali. Yani kaharibu hadi mama mwenye huruma anadiriki kumsema!
 
Ndugu zangu,

Mwaka 2016 Hayati Rais Dr.John Magufuli akiulizwa kuhusu mikutano ya vyama vya siasa na Katiba Mpya alisema "nataka niinyooshe nchi kwanza nipeni muda"...
Uchumi umewashinda kwa miaka 60 ya uhuru, CCM ni ile ile, hakuna cha Magufuli au samii
 
utabaki kuwa hamnazo maana unasisitiza kifo cha jamaa kama hakuna anayejua hapa.

hiyo ni dalili ya kuweweseka mkuu,au kisasa tunaita mhaho.
Ngoja nikunong'oneze watu wasisikie "Kwani huungi mkono juhudi? 👂
 
mimi ni ccm kabla hujazaliwa.
Yani uende kule halafu acha kelele watu watasikia. Namaanisha kuwa uende kule ukawahi vyeo. Si unajua kuwa alikuwa anapiga kampeni kuwa akifika huko awe mkuu wa kina naniluu atakuwa keshapata ushindi huko. Wahi unaweza kuwa mkuu wa wilaya ya sayari ya Jupiter 😂
 
kwani huko unakwenda mwenyewe au unaitwa!!!
 
Labda sababu ya kufanya siyo ili mataga walie, lakini mmelia anyway!
 

Hata Bollen Mwenyewe alikuwa JELA siaamini kama ndiyo yeye ameandika.
 
Duh ulivuovuta mdomo kwa hasira...relax
 
Nilisema kuwa dada yake Kayafa ni bomu kwa sababu ana laana za kaka yake lakini watu wakawa wananibeza.She is inept leader and the worst is yet to come.

Ni muoga kama yule Bladifakenii aliekufa kwa Corona.Suala la mikutano ya kisiasa ni haki ya kikatiba wala siyo hisani au mapenzi ya Rais.Amenza tena kuvunja katiba mchana kweupe kama kaka yake.WTF!!!

cc: Wangari Maathai and Sky Eclat
 
Akina Mdude wanatoka miujiza inafanyika bado Yohana anauliza kama huyu ndiye Yesu. CHADEMA acheni malumbano na mama munaweza musiipate nafasi kama hii tena shauri yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…