Ndiyo Magufuli ameziba mianya ya ulaji serikalini. Ni mipango na sera gani alizoziweka ambazo mrithi wake atazifuata na hali haitarudi kama ilivyokua?Unajaribu kuwa influence watanzania nn juu ya bandiko lako. Wenye akili zao wanakuelewa unachojaribu ku hadaa.
Maisha mliyokuwa mnaishi mwanzo kabla ya Maguful ndiyo mmeyamiss, maisha ya wizi serikalin, maisha ya kufanya anasa kwa kuwa pa kuchotea kupo wazi.
Msiteseke namna hyo, fanyen kaz mpate fedha za kula maisha kihalali.....mtateseka mpka lini?
Mwakyembe pia chaliHuu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu( a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperesha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda.
Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda nzito sema tu hawana pakusemea.
Hasira za wachache wa Kigamboni wamezipeleka kwa Makonda, ambaye ni mtu wa karibu na Magufuli kwa kipindi kirefu katika utawala wake wa miaka takribani 5 sasa
Mpunga ulimwagwa kwelikweli .Sema na hizo kura 122 jamaa atakua aliwatembezea pesa balaa.
Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu( a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperesha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda.
Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda nzito sema tu hawana pakusemea.
Hasira za wachache wa Kigamboni wamezipeleka kwa Makonda, ambaye ni mtu wa karibu na Magufuli kwa kipindi kirefu katika utawala wake wa miaka takribani 5 sasa
Acha kumlinganisha Rais wa Africa na watu wasio eleweka. Mimi nipo nchi za nje kote huku wanamzungumzia Magufuli tu.Na hata mimi nitaunga mkono kumpongeza kwa ushindi wa namna hiyo, licha ya kutopenda mengi aliyofanya kwenye hii miaka mitano.
Ukweli mtupu,Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu( a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperesha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda.
Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda nzito sema tu hawana pakusemea.
Hasira za wachache wa Kigamboni wamezipeleka kwa Makonda, ambaye ni mtu wa karibu na Magufuli kwa kipindi kirefu katika utawala wake wa miaka takribani 5 sasa
Umesema kwa WaTz wote!! Uwazi huo utakuepo?! Kinachozungumzwa hapa ni uwaziYa makonda ni ya makonda na ya Magufuli ni ya Magufuli. Tutampima magufuli kwenye uchaguzi wa rais ambao unashirikisha watanzania wote ili tuone kama kama anakubalika ama la.
Hivi ingewezekanaje kwa wanakigamboni wamtupe mtoto wao Ndugulile wakamchukue Makonda ambae anaonekana kama mhamiaji tu. Hata kwa hizo kura tu alizopata bado ni nyingi sana, na amezipata kutokana na influence aliyonayo.
Hili Lipo wazi kabisa. NDIO maana walishindwa kuweka hata MAMLUKI ajidai kama anamchallenge JPM wakiogopa kuwa Yule MAMLUKI anaweza kushinda.Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu( a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperesha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda.
Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda nzito sema tu hawana pakusemea.
Hasira za wachache wa Kigamboni wamezipeleka kwa Makonda, ambaye ni mtu wa karibu na Magufuli kwa kipindi kirefu katika utawala wake wa miaka takribani 5 sasa
Kapata nyingi sanaUko sahihi, margin haikuwa kubwa sana kama mtu ambavyo angelitgemea. Haikuwa mbaya sana! Kwangu mimi bado Kigamboni kuna "takataka" za watu maana haikupashwa kupata kura hizo Makonda!
Wajiamini halafu wampe kura zote hizo?Kauli ya Rais ...kwaba yeye na viongozi wakuu wa chama hawajamtuma mtu yeyote kugombea; ni tamaa zao,hasa vijana waliozaliwa 1982. Kauli hiyo ya dakika za mwisho iliwapa wajumbe ujasiri wa kujiamini kufanya maamuzi.
Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu( a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperesha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda.
Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda nzito sema tu hawana pakusemea.
Hasira za wachache wa Kigamboni wamezipeleka kwa Makonda, ambaye ni mtu wa karibu na Magufuli kwa kipindi kirefu katika utawala wake wa miaka takribani 5 sasa
Kidumu chama cha Mapinduzi 💪🏾 Dr msomi mwenye degree nne asiyeweza kujifungia kutoka kwa wanamuziki wasiosoma.Mwakyembe pia chaliView attachment 1512453
Kabisa jiwe hakubaliki ni nguvu tu na propaganda ndizo zinamweka madarakani.Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu( a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.