Uchaguzi 2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

Kwanini haikuwa hivyo awe na washindani? Jibu hili ndugu.
 
They are inseparable
 
Bashite kuna uwezekano mkubwa kura moja ameunua sio chini ya laki tano
 
Hakuna kushitakiwa hata akiua hadharani.
Huyu ndio mnasema anapendwa!
 
U
Magufuli hapendwi, sema amekaa mainroad ya maisha ya watu, ndiyo maana watu wanajifanya kumpenda ili wapite, maisha yao yaende.
Kwenye uchaguzi wa haki, Membe au Lissu wanamgaragaza vibaya sana.
Unaweweseka mpaka povu linakutoka na litakutoka sana mpaka 2025 utanyokaa tu, wenzako tunachezea teuzi tu maisha yanasonga
 
Bashite kuna uwezekano mkubwa kura moja ameunua sio chini ya laki tano
Ndiyo Magufuli ameziba mianya ya ulaji serikalini. Ni mipango na sera gani alizoziweka ambazo mrithi wake atazifuata na hali haitarudi kama ilivyokua?
achana nao hawa UVCCM wasiojitambua.
Hapo alipo bado kapanga kwenye ghetto la chumba kimoja, akizdiwa kodi anambip shemeji yake amsaidie
 
Mkumbuke baadae kabisa majina yanatakiwa yaende kamati kuu, lirudi moja bila kujali uwingi wa kura za maoni ambalo ndio litapeperusha bendera ya chama, Makonda nafasi anayo.
Hata kama atamrudisha, Watanzania washatuma ujumbe wao kuwa baba hapendwi kama vile mtoto wake asivyopendwa
 
Madaraka makubwa aliyonayo kwenye chama na serikali ndio ponepone yake, vinginevyo hata yeye wangemkataa.
Kwahiyo kuna possibility hata zile kura za ngumbalu alizopata kule Dodoma juzi wasimamizi aliwaminya ili wasimkate!!!?
 
Umetumia mizani gani
Kama unaishi mkoa tofauti na ulikozawaliwa jaribu kumtuma mwanao akakae wiki mwezi mmoja aidha kwa wazazi au ndugu wa asili. Baada ya mwezi mtume mke wako amfuate mtoto.
Ukimwona mtoto kanenepa ujue mtoto ambaye ni wewe unapendwa dhahiri, akirudi amekonda ujue mtoto ambaye ni wewe haupendwi kwenu
 

Ndio Maana waka print form moja tu...
Full stop
 
Mm,hizi ni chuki,wivu na husuda tu zisizo na maana,ungejua Magufuli anavyopendwa na Watanzania,wala usingeyasema haya.Anyway yupo,and there is nothing you can do about it,pamoja na kumchukia kwako.
 
Huna hoja, mmesema Lissu atamshinda Magufuli Sasa mnaweweseka Nini tena?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mm,hizi ni chuki,wivu na husuda tu zisizo na maana,ungejua Magufuli anavyopendwa na Watanzania,wala usingeyasema haya.Anyway yupo,and there is nothing you can do about it,pamoja na kumchukia kwako.
Hivi wewe unajua sana na una intelejensia kubwa kuliko mhusika Magufuli?
Hivi kwanini alimtimua Membe mtia nia?
Kwanini form ya Urais CCM ilifyatuliwa moja tu?
Mwenyewe Magufuli anajua wazi kuwa hapendwi ndani ya CCM na nje pia who are you?.
Usinifanye nikaandika mambo mazito mengine hapa nikaleta mtikisiko jf
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Hii hiki kimfano ni cha kitoto lakini kina maana kubwa sana, sio rahisi kila mtu akakuelewa, umeni quote kwa haka kafumbo ngoja niishie hapa [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…