Uchaguzi 2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Hii hiki kimfano ni cha kitoto lakini kina maana kubwa sana, sio rahisi kila mtu akakuelewa, umeni quote kwa haka kafumbo ngoja niishie hapa [emoji1787][emoji1787]
Ahahahaaa.
Poa kama umenipata chief
 
Umemalizaaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Yesu Kristo, muujiza wake wa kwanza Duniani ulikuwa ni kugeuza maji kuwa mvinyo na watu walikunywa na kufurahi. Hadi leo tunamkumbuka kwa tendo hilo.
Kabla hajaenda kuteswa na kuuwawa aliwaalika Mitume wake kwenye karamu ya mwisho.
Alitwaa mkate akaumega, akasali akasema twaeni mle wote, huu ndiyo mwili wangu utakaotolewa kwa ajili yenu. Vivyo hiyo baada ya kula akatatwaa kikombe akashukuru akasema twaeni munywe wote, hiki ni kikombe cha Damu yangu, damu ya agano jipya la milele itakayomwagika kwa ajili yenu kwa maondoleo ya dhambi na ufufuko wa mwili. FANYENI HIVI KWA KUNIKUMBUKA MIMI.
Katika sala ya Bwana Tunasali. Utupe leo mkate wetu wa kila siku.
Kwa maneno hayo utagundua kuwa Mwanadamu hitaji lake pekee la kumfanya amkumbuke Kiongozi wake ni kumfanya au kumwezesha apate chakula chake cha kila siku.
Makonda ameleta maendeleo makubwa mkoa wa DAR lakini pengine wanainchi wake wananjaa.
Hajaweza kuwaondolea njaa.
Watanzania hawajali maendeleo makubwa aliyoleta Rais Makufuli bali wanasikitika kukosa maisha ya kula na kusaza ya wakati wa Rais Kikwete.
Huenda Rais Kikwete akakumbukwa zaidi kwa sababu tu aliwaacha watu wakala na kusaza na akaifanya Serikali kuwa fukara.
 
Amina
 
Wewe ni m.pumbavu sana, mbona leo kuna wizi kuliko wakati wowote tangu tupate uhuru, unaweza kutuambia TZS 1.5 Trilioni ziko wapi.
 
Acha kumlinganisha Rais wa Africa na watu wasio eleweka. Mimi nipo nchi za nje kote huku wanamzungumzia Magufuli tu. Ni nyie vilaza wa mitandaoni ndio mnakebehi Rais wetu wa Africa.
Upo nchi ya nje ya Burundi, unafanya nini huko.
 
Basi sawa! Kwa hiyo Membe atashinda?
Sipo ktk chama chochote, ila binafsi simpendi Magu na makonda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii wajumbe wa CCM kigamboni wamejua kunifurahisha khaaaaah
 

mbna hata upinzani wana watu wana hasira zao wametulia tu, watu wanapita maisha magumu cdm wakitoka ndo wanayaongea mengine hata hatukuyajua,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…