Uchaguzi 2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

Acha kumlinganisha Rais wa Africa na watu wasio eleweka. Mimi nipo nchi za nje kote huku wanamzungumzia Magufuli tu.
Huenda una mtindio wa akili, maanake uliyoandika hapa hayana maana yoyote.

Magufuli ni nani anayemjua nchi za nje?
 
Kama kutembea ni kama huko ulikokufanya wewe, mimi sioni haja hata kidogo ya kutembea halafu matokeo yake yanakuwa kuonekana kuwa mjinga.
Tatizo lako wewe ni kilaza wa kutupwa kabisa.
umekosa maono, ni mvivu wa kufanya kazi, ni mvivu wa kufikiri, ni kilaza wa kwanza kuliko vilaza wote Tanzania
 
Wana
Wanaompimga si wangepiga kura ya nooo?
Ufipa bhana.
Leo kamanda lissu kasemaje? Naona hamna taimu kabisa nae
 
Mkumbuke baadae kabisa majina yanatakiwa yaende kamati kuu, lirudi moja bila kujali uwingi wa kura za maoni ambalo ndio litapeperusha bendera ya chama, Makonda nafasi anayo.
Kama wakifanya hivyo,Jimbo wanachukua wapinzani,Tena ccm wenyeww watapiga kura za chuki,hata jpm alishawahi kusema wakifanya makosa kutowapa wananchi chaguo Lao,kitakachotokea wanakijua
 
Uchaguzi mkuu ni kipimo cha kujua kati ya wagombea na wapiga kura nani mjinga .
 
unasema angesimamishwa na mtu????
Mimi hata angesimamishwa na ibilisi, ningempigia kura kaka ibilisi!
 
Acha dhana potofu,Kinana alipokea msamaha wa chama kwa tabasamu kama lote,mda hauniruhusu kuandika acha kwanza nijiset
Utakaaje kwenye picha bila "tabasamu", au huelewi kusoma picha?
 
Hata mimi nimeona videos zake ila sijaweza kutuma nope.
 
Na hizo kura alizopata siyo ajabu ndo zikampa back up kubwa ya kurudishwa kwa jina lake. Alipaswa kupata kura 1 au zero kabisa. Hapo ingekua ngumu kwa Kamati Kuu kurudisha jina lake, maana ingeonekana amekataliwa kabisa na wanakigamboni.
watu mnamchukulia chuma poa Msukuma hapendi dharau yule na bashite alichomfanyia ni dharau baba ako anakwambia leo usiende kucheza lisha mifugo haijapita hata masaa unaenda kucheza ukiacha mifugo inashinda njaa alafu akuonee huruma labda sio mzee wa kisukumua Bashite safari yake ya kisiasa imeishia hapa
 
Mkumbuke baadae kabisa majina yanatakiwa yaende kamati kuu, lirudi moja bila kujali uwingi wa kura za maoni ambalo ndio litapeperusha bendera ya chama, Makonda nafasi anayo.
Angalau wewe Una akili makonda anapita kW staili hyo
 
Uko sahihi, margin haikuwa kubwa sana kama mtu ambavyo angelitgemea. Haikuwa mbaya sana! Kwangu mimi bado Kigamboni kuna "takataka" za watu maana haikupashwa kupata kura hizo Makonda!
Pesa ni sabuni ya roho Nadhani umeelewa
 
Utampimaje wakati anayeenda kutangaza matokeo kamteua yeye? Ushasahau ya Jecha kule Zenji? Athubutu kuweka tume huru ya uchaguzi aone kilichomnyoa kanga manyoya
 
Wame peleka hasira zao kwa kumuonyesha kwamba wale alio wanunua na kulazimisha wapeperushe bendera yao Ccm bila kupingwa na dola ihakikishe wana shinda. Sasa wenye chama wamemuonyesha alikosea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…