Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

Tanzania kila kitu kinawezekana watasema vikundi vidogo vidogoo vikiwa viiingiiii vinakuwa umma. 😄😄😄
Kweli kabisa wanaweza kuja na hilo wazi. Ila Sheria inataka kumshtaki mtu kama ilivyoandikwa sio kama mtu anavyotaka. Sheria inasema kikundi cha watu au mtu binafsi. Ilikuwa lazima kosa au charge ionishe hivyo.
 
Kweli kabisa mkuu. Hawa majaji wanatumika tu.
 
Lisu amewaweka kwenye tight angle, na akisema alichochea umma, umma ndio huo uliofanya rais akashinda kwa 97% so which is which?

Ukikimbia nshale, ukisimama nshale.
Yani hawana pa kutokea. Wamesema alitishia serikali lakini mahakama ikazuia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu (wa wakati huo) kuja mahakamani kueleza namna walivyotishwa.
 
Kwa kweli.
 
Kweli kabisa wanaweza kuja na hilo wazi. Ila Sheria inataka kumshtaki mtu kama ilivyoandikwa sio kama mtu anavyotaka. Sheria inasema kikundi cha watu au mtu binafsi. Ilikuwa lazima kosa au charge ionishe hivyo.
Ikumbukwe kuna mashahidi walitoa ushahidi kwamba baada ya kusikiliza hotuba ile "WALIHAMASIKA".

Those are persons and their particulars are known!
 
Mnaanza kujipangia matokeo yenu
Na hukumu zenu

Msiende tu Mahakamani kama unajijua una presha na ipo juu
Msiwape tabu watu kuja
kukupepea 🫎🫎
 
Kumbuka neno moja tu Mahakama sio Mama yako✍️
 
Mengine tuwaachie Majaji wetu wa CCM
Kama Lissu anavyowaita🤠🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…