Ushahidi wa October 29 ulikataliwa na mahakama ya Rufaa usitumike kwenye kesi hii maana wakati wa commital hauletwa na jamhuri. Hata kama ungeruhusiwa, hayo yalifanyika baada ya kesi kuanza. Utamshtakije mtu kwa jambo lililotokea wakati tayari kesi imeanza kusikiliza mahakama kuu. Pia akina DCI, IGP na CDF wakiitwa mahakamani wakakimbia, wao walikuwa na nafasi nzuri kufafanua namna uhaini ulivyofanyika.Tujipe muda kidogo tusublie submission ya upande wa mashitaka nayo kwa sababu hayo ni maelezo ya Lissu kulingana na alivyo itafsiri sheria.Je ukiambiwa kile kikundi cha watu waliokua wamehudhuria kwenye ule mkutano wa hadhara pale mbinga ndo umma,au huko kote ambako utetezi ulipita kufafanua kauli mbiu yao ya no reforms,no election ndo vikundi vyenyewe vya watu?. Kubwa zaidi ni 29 october ndo itatia uzito.
Mahakama na Majaji wetu ni wa kupigiwa simu moja tu (ROSTAM AZIZ)Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.
Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
Na hili ndilo Lissu alilisema Jana. Ila naona Kuna baadhi ya watu hawataki kuliona uzito wake. Wamebaki kusema atanyongwa.Huwezi kuchochea Umma, that's is practically impossible
Umma ni Kila mtu.. yaani mtoto wa miezi 6, wagonjwa hospitalini, wakulima mashambani,.. yaani watu wote, haiwezekani kwa kuwa sio wote waliosikiliza speech hiyo..
Ila unaweza kuchochea kwa mtu mmoja, au kikundi Cha watu
Kikundi Cha watu hapa inamaana mnakuwa mna lengo Moja na mikakati
Kweli kabisa mkuuTunasubiri submission ya Upande mwingine, Ila neno Umma ...maana yake ni Kila mtu katika eneo ..Sasa unaweza kuchochea Kila mtu ? Je Kila mtu alisikiliza hotuba hiyo kwa nchi nzima ?
Ila mtu au vikundi unaweza kuchochea na ile Sheria iliweka malengo hayo kwa kuwa uhaini unafanywa kwa Siri ..na washiriki ni baadhi tu ya watu (mtu au kikundi)
Ila ukichochea Umma, ambapo ni watu wote..Kunakuwa hakuna Siri Tena
Majaji watalinganisha ..
Issue ya October 29, wakina Katuga wanajaribu kuileta Mahakamani..ila kiufupi haipo.. Majaji hawatoi hukumu kwa kuangalia Tv, au magazeti..
Wanaangalia kilichopo mezani kwao na ushahidi kujitosheleza..
Unakumbuka Mwezi February 2026 Jamuhuri walitaka kuongeza ushahidi Mpya ukakataliwa? Ule ushahidi ulikuwa na mambo ya October 29 (picha na ripoti za uchunguzi)...walitaka kuweka mezani kwa Majaji ili waonyeshe kilichotokea.. ili kuongeza nguvu ya ushahidi wao
Hivyo shida sio Lissu ni watanzania kukubali uonevu kama sehemu ya maisha yao.Aliyeuwa watanzania 518 amepata hukumu gani Hadi huyo atakayemhukumu MTU mmoja apate hukumu kubwa?
Kuna watu kama Polepole na Nchimbi wamepotezwa watanzania wako kimya ndo huyo Lissu akinyongwa ndo watanzania wataamka?
Yeye ana nini zaidi ya hawa wanaouawa kila siku?
Kabisa mkuuHawezi kunyongwa
Hawezi kunyongwa
Ndio maana sisi waislam tunaamini kuna hukumu siku ya hukumu. Yaani final submission. Wasiomini wanakuuliza umewahi kwenda ukarudi? Sasa mfano ushalawitia hapa duniani halafu mbabe anakwambia fanya unalofanya ndio basi tena? NoKesi ya kisiasa
Chuki
Hasara
Uonevu
Husuda
Misuse of power
Wajinga wachache waliopewa madaraka
Mahakama zinafuata Serikali inasema nini
Ingekua kesi km hizi majaji wanachukua rushwa ingekua ishaisha ila kwa sababu Serikali na wenye maamuzi huwamua uendeshaji wa kesi hizi za kisiasa basi tusubiri na kuona
Kama Mahakama ikiona kuna mashaka kidogo ya ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka,huwa inatoa fursa kwa mshtakiwa kujitetea ili aweze kuondoa mashaka hayo.Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.
Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
Ukisema umma wa Watanzania maana yake hata Rais,Makamu wake,Waziri Mkuu nk walichocheka.Tunasubiri submission ya Upande mwingine, Ila neno Umma ...maana yake ni Kila mtu katika eneo ..Sasa unaweza kuchochea Kila mtu ? Je Kila mtu alisikiliza hotuba hiyo kwa nchi nzima ?
Ila mtu au vikundi unaweza kuchochea na ile Sheria iliweka malengo hayo kwa kuwa uhaini unafanywa kwa Siri ..na washiriki ni baadhi tu ya watu (mtu au kikundi)
Ila ukichochea Umma, ambapo ni watu wote..Kunakuwa hakuna Siri Tena
Majaji watalinganisha ..
Issue ya October 29, wakina Katuga wanajaribu kuileta Mahakamani..ila kiufupi haipo.. Majaji hawatoi hukumu kwa kuangalia Tv, au magazeti..
Wanaangalia kilichopo mezani kwao na ushahidi kujitosheleza..
Unakumbuka Mwezi February 2026 Jamuhuri walitaka kuongeza ushahidi Mpya ukakataliwa? Ule ushahidi ulikuwa na mambo ya October 29 (picha na ripoti za uchunguzi)...walitaka kuweka mezani kwa Majaji ili waonyeshe kilichotokea.. ili kuongeza nguvu ya ushahidi wao
Hii ilitakiwa kuwa kesi ya Uchochezi na sio uhainiUkisema umma wa Watanzania maana yake hata Rais,Makamu wake,Waziri Mkuu nk walichocheka.
Kwa kweli Lissu ana akili kubwa sana.
Hoja ya pili ni kuweka maneno "...kuzuia uchaguzi..." kwenye mashtaka.
Kangaroo CourtNimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.