Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Musiba jinga sana sana, atafungwa miaka mingi na kufilisiwa kabisa. Hii itakuwa funzo kwa watu wengine, mahakama imetenda haki. Musiba pia ana case na Membe, sijui atachomokea wapi, nahisi anaweza kujinyonga au akajifanya kichaa 😂😂
 
Afungue msba kama hakutendewa haki...

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hiyo kesi hatakiwi hata kuhangaika nayo Musiba atulie tu

Ni sawa tu na kuandikwa vibaya na gazeti la the Economist la Nchi ya marekani halafu unaenda mahakama ya kisutu kudai mumiliki akulipe fidia aliyeko Nchi ya Marekani wakati sio raia wa Nchi yako.Mahakama Local uwezo huo hawana .Ndio maana serikali iliishia tu kusema marufuku Hilo gazeti kukanyaga Nchi yetu

Hiyo kesi ya Musiba mahakama ya kuu ya Nchi huru ya Zanzibar kufuatana na katiba yao hawana ubavu huo.

Fatma Karume apeleke hiyo kesi mahakama ya kimataifa sio Vuga Zanzibar!!!
 
Usiongee vitu usivyokuwa na uhakika navyo, au usivyovifahamu (matters that you are unsure of, or matters that you are not knowledgeable about).

And if you can't muster any palpable legal argument in line with the apt jurisprudence, then you need to sit this one out before you embarrass yourself even further.

Ni hivi, tulia dawa ikuingie. Wewe kama ndiye Musiba, utajua hujui yaani. Mlizidisha sana njaa na ujinga.
 
Je wakimfunga fatma atakua amefaidika na nini?
 
Tatizo hiyo pesa kubwa mno kuliko uhalisia, huyo Fatma mwenyewe anajua Musiba hana hiyo pesa.

Kwa nini wasiweke kiwango chenye uhalisia, hata milioni 10 ingetosha kumpa jamaa wenge.
 
Kwa hiyo ukifanya uhalifu Tanganyika ukakimbilia Zanzibar utakuwa umekwepa hukumu?

Kama ni hivyo Interpol watafanya kazi yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…