SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Magufuli alituharibia sana nchi yetu.Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi , wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani .
Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa Mgombea ubunge wa Chadema Kalumuna kushinda kesi ya uongo aliyobambikiwa
=====
HABARI: Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea ubunge Bukoba Mjini (Chadema), Chief Kalumuna na wenzake 6 waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma 8 ikiwemo ya kutotii amri ya Polisi.
Habari Motomoto za Chademahabari zao za mototo hapa
Hiv kumbe huyu jamaa Sijaelewa hapa.kashinda kesi dhidi ya serikali ,sasa nini kitafuata ?Naona watu wamefurahi je uchaguzi utarudiwa?Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi , wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani .
Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa Mgombea ubunge wa Chadema Kalumuna kushinda kesi ya uongo aliyobambikiwa
=====
HABARI: Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea ubunge Bukoba Mjini (Chadema), Chief Kalumuna na wenzake 6 waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma 8 ikiwemo ya kutotii amri ya Polisi.
sasa tunaomba ashugulike na Ndugai..AMEN.
Pongezi kubwa sana kwa Mahakama zetu nchini. Kwa hukumu hii imewadhihirishia WAOVU kuwa Mahakakama zetu ni HURU!!!!!!Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi , wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani .
Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa Mgombea ubunge wa Chadema Kalumuna kushinda kesi ya uongo aliyobambikiwa
=====
Mahakama ya wilaya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Chif Karumuna na wafuasi wengine 6 wa chama hicho waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka 8 likiwemo la kushambulia na kudhuru mwili wa askari polisi SSP Babu Sanare baada ya mahakama kutilia shaka hoja za ushahidi upande wa jamhuri.
Wafuasi hao wa CHADEMA walishitakiwa baada ya kutokea vurugu katika uwanja wa Kaitaba kulipokuwa kunafanyika zoezi la kuwaapisha wakala,wagombea udiwani na ubunge.
Makapi ya mwendazakeHasa Jaji Mugasha, yule hafai na sijui alimchagua Nani.
Ngoja waende mahakama ya rufaa ngoma inaishia hapo mkuu kule ni CCM tupuPongezi kubwa sana kwa Mahakama zetu nchini. Kwa hukumu hii imewadhihirishia WAOVU kuwa Mahakakama zetu ni HURU!!!!!!
Samia oyeee!3 May 2021
Bukoba, Tanzania
ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE CHADEMA NA WENZAKE 6 WAACHIWA HURU "HALI YANGU SIO NZURI"
Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba imewaachia huru washitakiwa saba akiwemo aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya Chadema Jimbo la Bukoba Mjini 2020 Chief Kalumuna ambao walikuwa wanatuhumiwa kwa makosa nane yakiwemo ya kusababisha fujo,kutotii,kusababisha uharibifu wa mali siku ya kuwaapisha mawakala na wagombea tarehe 21 mwezi wa 10 mwaka 2020.
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Bukoba Joseph Lwambano amesema kuwa ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka haukuthibitishwa hivyo inaonyesha washitakiwa hawakuhusika.
Akiongea nje ya mahakama mshitakiwa namba moja Chief Kalumuna ameeleza furaha yake baada ya kuachiwa huru.
Source : millard ayo
Hakika !Magufuli alituharibia sana nchi yetu.
.3 May 2021

Tarehe 13 May 2021 chief Kalumuna atarudi tena kusimama mahakamani kwa tuhuma ya mambo yaliyotokea tarehe 28 October 2020. Hivyo awaomba wote kumuombea siku hiyo ya kesi nyingine inayomkabili.
Source : millard ayo
N.B
Kutoka Maktaba Uchaguzi wa 2020
Yaani ona jinsi watu walivyoteseka kisa shetani mmoja tu wenye kichwa cha panzi.Saa nyingine nawaza au "system" iliona Mwendazake anaipeleka nchi kusiko, ikamtema?
Watu wameteswa bila sababu za msingi bali uoga tu
Laana hizi zitawatafuna Bashiri na Polepole and their satan company.Watu wengi waliumia chini ya utawala wa CCM Mpya ya mwendazake.