Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi , wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani .

Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa Mgombea ubunge wa Chadema Kalumuna kushinda kesi ya uongo aliyobambikiwa

=====

HABARI: Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea ubunge Bukoba Mjini (Chadema), Chief Kalumuna na wenzake 6 waliokuwa wanakabiliwa na tuhuma 8 ikiwemo ya kutotii amri ya Polisi.

Magufuli alituharibia sana nchi yetu.
 
Hiv kumbe huyu jamaa Sijaelewa hapa.kashinda kesi dhidi ya serikali ,sasa nini kitafuata ?Naona watu wamefurahi je uchaguzi utarudiwa?
 
sasa tunaomba ashugulike na Ndugai..AMEN.
giphy (2).gif
 
Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi , wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani .

Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa Mgombea ubunge wa Chadema Kalumuna kushinda kesi ya uongo aliyobambikiwa

=====

Mahakama ya wilaya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Chif Karumuna na wafuasi wengine 6 wa chama hicho waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka 8 likiwemo la kushambulia na kudhuru mwili wa askari polisi SSP Babu Sanare baada ya mahakama kutilia shaka hoja za ushahidi upande wa jamhuri.

Wafuasi hao wa CHADEMA walishitakiwa baada ya kutokea vurugu katika uwanja wa Kaitaba kulipokuwa kunafanyika zoezi la kuwaapisha wakala,wagombea udiwani na ubunge.

Pongezi kubwa sana kwa Mahakama zetu nchini. Kwa hukumu hii imewadhihirishia WAOVU kuwa Mahakakama zetu ni HURU!!!!!!
 
Haki ni jambo zuri, wamrudishie Ubunge wake huyu ni Mzalendo hasa japo ni CCM damu nchi ni yetu sote iwe CCM au CHADEMA. Chief Abdallah Kalumuna
 
3 May 2021
Bukoba, Tanzania

ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE CHADEMA NA WENZAKE 6 WAACHIWA HURU "HALI YANGU SIO NZURI"

Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba imewaachia huru washitakiwa saba akiwemo aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya Chadema Jimbo la Bukoba Mjini 2020 Chief Kalumuna ambao walikuwa wanatuhumiwa kwa makosa nane yakiwemo ya kusababisha fujo,kutotii,kusababisha uharibifu wa mali siku ya kuwaapisha mawakala na wagombea tarehe 21 mwezi wa 10 mwaka 2020.

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Bukoba Joseph Lwambano amesema kuwa ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka haukuthibitishwa hivyo inaonyesha washitakiwa hawakuhusika.

Akiongea nje ya mahakama mshitakiwa namba moja Chief Kalumuna ameeleza furaha yake baada ya kuachiwa huru.

Tarehe 13 May 2021 chief Kalumuna atarudi tena kusimama mahakamani kwa tuhuma ya mambo yaliyotokea tarehe 28 October 2020. Hivyo awaomba wote kumuombea siku hiyo ya kesi nyingine inayomkabili.

Source : millard ayo

N.B

Kutoka Maktaba Uchaguzi wa 2020

Samia oyeee!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wameachiwa sawa na wameonekana hawana hatia compensation yao iko vipi? Au ndiyo mpaka wakafungue kesi na wao ya kupotezewa muda na kuteswa pasipo sababu ya kuteswa?
 
Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu
3 May 2021
Bukoba, Tanzania

ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE CHADEMA NA WENZAKE 6 WAACHIWA HURU "HALI YANGU SIO NZURI"

Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba imewaachia huru washitakiwa saba akiwemo aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia tiketi ya Chadema Jimbo la Bukoba Mjini 2020 Chief Kalumuna ambao walikuwa wanatuhumiwa kwa makosa nane yakiwemo ya kusababisha fujo,kutotii,kusababisha uharibifu wa mali siku ya kuwaapisha mawakala na wagombea tarehe 21 mwezi wa 10 mwaka 2020.

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Bukoba Joseph Lwambano amesema kuwa ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka haukuthibitishwa hivyo inaonyesha washitakiwa hawakuhusika.

Akiongea nje ya mahakama mshitakiwa namba moja Chief Kalumuna ameeleza furaha yake baada ya kuachiwa huru.

Tarehe 13 May 2021 chief Kalumuna atarudi tena kusimama mahakamani kwa tuhuma ya mambo yaliyotokea tarehe 28 October 2020. Hivyo awaomba wote kumuombea siku hiyo ya kesi nyingine inayomkabili.

Source : millard ayo

N.B

Kutoka Maktaba Uchaguzi wa 2020

.
 
Saa nyingine nawaza au "system" iliona Mwendazake anaipeleka nchi kusiko, ikamtema?
Watu wameteswa bila sababu za msingi bali uoga tu
Yaani ona jinsi watu walivyoteseka kisa shetani mmoja tu wenye kichwa cha panzi.
 
Back
Top Bottom