Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Kinacholeta shida ni posho wanazojigawia huko nje na trip za abroad
 

Nyerere alikuwa ni binadamu kama walivyo binadamu wengine hivyo nae alifanya makosa ambayo wengine hawakuyafurahia na ilibidi waseme!! Nyerere was of flesh and blood. ; msimfanye kuwa alikuwa immortal na hata mwenyewe asingependelea hivyo.
 
Kuna siku itakuja tutaambiwa mnaweza kula na kulala tu. Your petties to be kept in cage like baboon.
 
Prof alikuwa ni witness. Tatizo pale haikuwa lugha bali ni vifungu vya mkataba ndivyo vilikaa vibaya. Kumbukeni tuliwanyang'aya lesini bila kufuata taratibu za mkataba baina yetu.
Ukifanya kitu kibabe mahakamani huwa ni maumivu tu. Maneno hubaki kinywani
 
Una mawazo ya hovyo sana.

Kumbuka kukosea kwake taifa inalipa gharama kubwa. Tena billions
 
Per diems...
 

Nepotism imeua uwezo wa hii nchi kuendelea.
 
Mruma ni yule Geologist.
 
Afadhalii huyuu mzee kaishia kusema hakuwepoo mikataba ya ovyoo kama huo inaposianiwaa sasa mwaka 2050 atakaeenda kuvunja mkataba wa DP WORLD ataulizwa MACHIZI WALIOSANI HUU UPUUZI WAKO HAI BADO???? Maana vifungu vyake ni kichaa peke yake anaeweza kusainii
 
Hueleweki. Na wewe ni mwanafunzi wake?

Sasa tunaposema Watanzania walio wengi "wanasomea ujinga" ulikuwa hutuelewi?
Bado DP World najua siku ikifika utakua humu humu usije ukabadirisha ID tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…