Hii nchi inefeli kwasababu watu wengi walioshika nyadhifa za juu akili zao ni kama hizi, CCM imejaa maboga matupu yasiyofaa kupeleka popote, mtu kama Professor Mkumbo utasema kuna akili mule?
Wale waliokua hawaoni tatizo la kuongozwa na mtu asiyekuwa na elimu "halisi" ya kutosha, nadhani watakuwa wamejifunza hapa. Kama huyu ndiye alieonekana kuwa mtaalamu mbele ya SHH na jopo lake, yeye SHH yupoje? Hako kalikompiga KO Prof Mruma ni chini ya miaka 30.
Magufuli aligundua kuwa CCM imejaa maboga yasiyoweza kumsaidia lolote ndiomaana alianza kuiba vijana wenye elimu nje ya CCM na kuwaingiza kwenye mfumo.
Nchi ya kipumbavu kabisa hii.