Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

Natabiri huyo mvua nguo bongo hana msimu mmoja mbele tutamsahau,save the date&mark my words,figisu Pro Max zitamuandama,ndio atajua hajui[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yanga sc walimshitani katika mahakama ya soka CAS!!Leo hukumu imetoka Bm Brain Man au BM3 kashinda kwa kishindo ! Je atapatani malipo yoyote kutoka kwa Yanga?

Mhamasishaji wa. Yanga aliyrkuwa Simba kabla ya kufukuzwa na kujiunga Yanga alisikika akijinasibu kuwa "wana kwenda kisimamisha dunia" jambo ambalo limegongwa mwamba itakuwaje?

Hapa imekaaje!?? Kuna malipo yoyote kwa BM?

Yanga itawaambia nn washabiki wake iwapo itapaswa kumlipa BM?

Kwa sasa Yanga inawaaminisha wanachama wake kuwa itamchukua chama ilihali inajua uhalisia ulivyo itakuwaje!?? Au itakuwa ni spinning game?

Niwatakie jion njema
 
Huu ni ushindi wa Simba na TFF! Kwani walikuwa kimya kelele zinapigwa na jamaa peke Yao! Wasemaji, waendesha mashtaka cjui majaji na kila kitu walikuwa wao! Hii ni aibu Yao! Hebu tufike wakati tuachane na mambo haya mpira uchezwe! Simba na TFF wameonyesha UKOMAVU!
 
Yanga kumpata chama hakuwafanyi wachukue ubingwa maana inayocheza ni timu, wajenge kikosi waache propaganda, ishu ya Morrison iishie hapa sasa, wasitumie fedha za wananchi kwa mambo ya kipuuzi, achana na kesi, cheza mpira mtani.
 
[emoji28]
IMG-20211122-WA0133.jpg
 
Back
Top Bottom