Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

Ukiwaangalia kama wako serious na wana akili kumbee bure kabisa [emoji3]
Screenshot_20211122-192129_WhatsApp.jpg
 
Natabiri huyo mvua nguo bongo hana msimu mmoja mbele tutamsahau,save the date&mark my words,figisu Pro Max zitamuandama,ndio atajua hajui[emoji38][emoji38][emoji38]
Sio unatabiri kuondoka lazima aondoke. Aliondoka Gatuso AC Milani aliyekuwa ana vua sembuse Wakili Msomi.
Unaumia ukiwa wapi?
 
Duu! hii sasa ni dharau yaani Simba wamezidisha sifa sasa

Walibebwa na TI EFU EFU watu wakamind mwisho wakazoea

Wakabebwa tena na KAFU bado watu hawakuridhika ila wakazoea tena

Kwa hili la KASI jamani Simba kuweni na huruma

Jamani wananchi kuweni makini mnaweza jichanganya leo kwa chama

Kesho mkaitwa FIFA
 
Kwakweli vandugu Mwakalebela hiyo jana inasemekana hajalala kutokana na majibu ya CAS.

Hili ni pigo kubwa kwake kwani alikuwa akimdhoofisha Morrison pale anapofanya vizur hasa anapofunga goli au kutoa Assist huanzisha mjadala wa Morrison kwakukumbushia kesi CAS.

Sio muda kitambi kitaanza kupungua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom