Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

Natabiri huyo mvua nguo bongo hana msimu mmoja mbele tutamsahau,save the date&mark my words,figisu Pro Max zitamuandama,ndio atajua hajui[emoji38][emoji38][emoji38]
Si mlimroga busha lakini ikashindikana? Hamna lolote Utopolo nyie kazi kuringia uchawi tu.
 
Back
Top Bottom