Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Tena hivyo vituko huwa vina kipindi chake Mkuu ili kutoa watu kwenye mstari. Lol.
Mimi huwa nakereka na hizi migogoro.kiukweli mimi ni simba ila haya yanayoendelea yanga sifurahishwi nayo.Kuna mikono ya watu nyuma ya hao wazee .Wazee wenyewe kimuonekano wamechoka.

Hao wazee wakiachiwa timu wataweza kuiongoza.Ifike hatua hizi timu za simba na yanga zipunguze migogoro.Vitu kama hivyo vinarudisha nyuma maendeleo ya jambo lolote sio soka tu.

Wanasimba wenzangu tusifurahiye haya yanayotokea kwa wenzetu.Kwani hata kwetu yakitokea sio mazuri. Halafu kwanini na zamuzamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…