🤣
 
Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
huyu Mbwa ana safari ndefu sana, wale Ma don wote aliokuwa against nao ndo sasa wamerudi ku- lead the horse...
 
Mbowe angekuwa na akili hiyo asingetoka na kukimbilia ikulu siku hiyohiyo!
 
Daah..! Mwamba kaponea tundu ya sindano ila kuna funzo kalipata.
 
Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi
Hata baada kushinda rufaa kwenye kesi ya kwanza mlisema hivi hivi.
 
Sabaya akirudi mtaani watamuua. Nashauri ahame kidogo nchi akapumzike hata Marekani watu wasahau machungu kidogo
 
Kwahiyo walijua kwamba leo wamasai watapambana na polisi ndio maana wakapanga kesi iwe tarehe 10?

Bavicha mna akili gani lkn?
Ngoja nikujibu kiungwana kabisa..
Mpaka Wale watanzania kujikusanya leo haikuwa mipango ya siku moja.. Mpaka askari kupelekwa kule halikuwa jambo la dharura
Kama huna akili nyembamba unaweza kujua hilo kwa hakika!
 
Bibilia inasema AMELAANIWA AMUABUDUYE MWANADAMU.
Hawa vijana walidhani wamfika mbinguni chini ya Mungu wao raisi ya malaika.

I hope anajutia mengi Sana
utakuwa umeona aibu kubwa sana leo pole na chuki zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…