FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwani yeye ndiye Mungu? Au kajiumba mwenyewe?Huyo bwana angetafuta namna nyingine ya kuficha siri yake huyo mwanamke amejitahidi lakini ilifikia mahali akachoka, angefanya hivyo yote hayo yasingetokea kuadhirika kiasi hicho.
Kwa kweli nimewaza sana, hivi hawa watu huwa wanawaza mara mbili kabla ya kufanya vitu vya namna hiyo, kwani wangetoa tu hiyo talaka bila kumdhalilisha mshikaji wangepungukiwa na niniKulikuwa na haja gani kumtaja huyo mwanaume jina kama sio kumdhalilisha kwa wanaomjua.
Ona sasa tumejua udhaifu wake.
Hawajamtendea haki huyo mwanaume kwa kumtangazia udhaifu wake
Naunga hoja ..kwan lazima atumie kiungo chake?si kuna vitu vingine vingesapot .ila nao 21 yrs mnakuja achana ijumaa kuu leo? Wangemaliza uzee pamoja tu
Wewe ni Ebenezer. Nimejiuliza kweli. Aliimba huu wimbo wa shukrani,kumbe mmmewe hana corodani. Kweli Mungu ashukuriwe kwa kila hali.
Ila, shauri hili ni fumbo la imaniHata kama hana korodani ,lakini si anasukuma mashine? Watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu,na unaweza hata kuchukua yatima.
Ndoa zimebeba siri kubwa sana
Nishawahi Pata mpenzi mlokole akaniambia ananipenda kweli ila hataki tushiriki hilo tendo
kwakua namimi nilimpenda kweli nikakubali tukapeana ahadi mpaka NDOA kweli mahusiano
yakaanza,siku - wiki - mwezi - miezi - mwaka tuna romance mashine inasimama ila ndio haina pa kwenda
mwaka wa 1 mwaka wa 2 nikapata mchepuko 1 Chance one Goal,huyo katekista wangu tukaachana
ndani ya miaka miwili no kwichikwichi, kitanda kimoja, bafu 1,tunaishi ka tuko beach nikifikiriaga ile kipindi
najiona kama nilikuaga SAMSONI flani hivi mwenye miguvu ya ajabu, katika watu mbinguni tusingekosa ni kipindi cha miaka ile miwili.
sema kuna wakati najionaga nilikuaga boya au niliwekewa limbwata?!! ila kwa yesu hamna limbwata sasa niliwezaje etiiiiiiii? bwana weee mi hata sishangai hao wapeana talaka
wengine tulikufa na kiu na angali tumezungukwa na maji ya kila aina pembeni ila vigezo na masharti ilibidi vizingatiwe.
Sina ujinga huo sasa hivi,kama ni mbingu na niikose eboooo

Je Mahakama ilipokea report ya kitabibu kwamba bwana Z hana Korodani? Hapa Ni lazima ije report ya daktari Kuthibitisha Kwamba bwana Zabron Hana korodani na Iwe tendered Mahakamani kama Exbit ∆1 na Daktari Alimchukua Vipimo, Mahakama Za Mwanzo Watu Wanavurugana Tu.Vifuatavyo vyaweza kuwa sababu za msingi kwa mahakama kuvunja ndoa;
Uzinzi / adultery
Ukatili / cruelity
Kutelekeza / desertion
Sasa kwa hoja ya huyo mama kukosa haki yake ya ndoa ni ukatili kwakweli physical n mental.
Hivyo basi mahakama ilikuwa sahihi kuvunja ndoa hiyo.
Kifungu cha 144 cha sheria ya ndoa ya 1973 kinasema baada ya ndoa kuvunjika kinachofata ni mgawanyo wa mali (wababa hawakipendi hiki kifungu kweli)
Sasa katika mgawanyo wa mali mahakama huangalia vitu vifuatavyo;
-extent of contribution (kiswahili mnisaidie)
- mila za sehemu husika
-watoto kama wapo
Kuna kesi marufu ya Bi Hawa versus Iddi Seif ( wamama wanaipenda kweli)
Inasema ya kwamba kile kitendo cha mwanamke kufanya shughuli za nyumbani, kulea watoto na kumuhudumia mume kinatosha kabisa kupata mgao wa mali ya mumewe.
Japo kuna majaji wanakubaliana na hiyo hoja lakini kwa angalizo kwamba mgao usiwe hamsini kwa hamsini 50/50.
Pia nikosa kwa mwanamme kumnyima mkewe d*d* na ikithibitika anaweza kumuliwa kumlipa mkewe faini au ampe (au vyote kwa pamoja)
Pia ni kosa kwa mwanamke kumyima mmewe uch** ikithibitika atamriwa mpe (mwanamke hana option ya kulipa faini katika hili[emoji23][emoji23])
Nawasilisha
Kawaida ilitakiwa baada tu ya kufunga ndoa kesho yake hiyo ndoa ivunjwe kwa mwanaume kudanganya kuwa ni mwanaume wakati siyo
Rebecca anatakiwa adai fidia kwa kutapeliwa
Vyeti vya ndoa husomeka kuwa wewe ni.mwanaume au mwanamke maaba yaje uko.kikr vizuri au kiume vizuri? ukijibu mimi.mwanau.e au mwanamke ikafika uwa huwezi kitandani maumbile huna ya kike au kiume ndoa inavunjwa na unashitakiwa kea utapeli
labda influence ya pesa MkuuKwa nini alivumilia miaka yote hiyo?
Mlokole wangu ana watoto sasa hivi "Kila mtoto na baba ake",natamanigi nikutane nae face to face nimkate mkofi wa USOHaha, vipi mlokole naye kaolewa?
Ila Mkuu ipo namna alikufanyia si kawaida hii kitu.
Mwanamke siyo mwaminifu, alijuaje korodani kama hajaziona nje ya huyo mumewe?Kondo alisema katika ushahidi uliotolewa na Rebecca alidai hawakuwahi kufanya tendo la ndoa tangu wafunge ndoa kutokana na mume wake kutokuwa na korodani.
Aaaah wap, hujawahi kuona mtu kafika na mkewe au mumewe wakiwa na miaka Miwili tu au tatu ya ndoa halafu baada ya hapo humuoni kaolewa au kuoa au kuwa na Mtu mwingine pembeni? Hujawahi ona?
Maana ningemuona malaika!Ah huyo lazima alikua ana ntu wake
Dah ulimtunzia mtu bikra kweli wewe ni mwema na pengine ulimtunzia dereva boda boda 😂Mlokole wangu ana watoto sasa hivi "Kila mtoto na baba ake",natamanigi nikutane nae face to face nimkate mkofi wa USO
aniambie alinitesa vile halafu sasa hivi kiko wapi,sema ndio ivo saivi kama ni jehanamu niende ila sifanyi uzembe ule tenaa....
Pasaka njema kwakokuna vitu vya muhimu zaidi kuliko kusasambuliwa mbususu🤣🤣🤣🤣
He he heDah ulimtunzia mtu bikra kweli wewe ni mwema na pengine ulimtunzia dereva boda boda 😂