Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

Why not, kama Bichwa kubwa lenu mambo yanamshinda kwanini tusishangilie?

Jitu badala lidili na mambo ya msingi ya kuongoza nchi linahangaika na ngono, kuua raia na kufilisi biashara za watu, pumbavu kabisa
Mzee wa MIGA unafurukuta na ushoga wako
 
Dangote kesha sepa zake, wekezeni majungu yenu mliozoea
 
Tuwe wawazi hakuna kitu kibaya kama kushabikia Taifa lako kukimbiwa/kupoteza wawekezaji katika kukuza Uchumi.

Ninafikiri hoja iwe ni namna gani tulikosea kama Taifa na namna gani mwekezaji naye amekosea ili tukubaliane jinsi ya utatuzi wake.

Hata hivyo ni si sawa kulaumu utawala huu eti ndio kikwazo cha yote, pengine baadhi ya issues hazikuwa sawa wakati wa uanzishwaji wa kiwanda hicho awamu iliyopita hivyo katika kuzirekebisha awamu hii labda imeibua issues na visingizio vingine.

Ninaamini kila kitu kitakuwa sawa, kwani uwekezaji wa Dangote hauwezi ukawa ni White Elephant Project ili kunufaisha wawezeshaji waliotangulia na kuliachia Taifa likigubikwa na sintofahamu nyingi juu ya wawekezaji/uwekezaji.
 
Kuna watu humu mnachangia bila Shaka hamjaelewa kilicho andikwa
 
Hii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..

Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa.
Mkuu Ngurdoto kuwa hostel nini tena kimetokea?
 
Hivi unamuonaje huyu jpm?
Lengo hasa ni kuipeleka nchi wapi
Mi kila nkifikiria simuelewi
Akili zake anawaza nini sijui
Hana uwezo wakuongoza kama kuna mahali alikuwa anaonekana anafanyakazi basi alikuwa kwenye usimamizi mkali sana.
 
Hii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..

Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa. B
Dangote alipunguza sana bei ya
sarujii nchini sasa anataka kufunga kiwanda mitaani bei imepaa na saruji haipatikani na huo ni mwanzo tu yajayo yanatisha. Pamoja na maagizo toka juu kama Dangote anaona mazingira ya kufanya biashara ya saruji nchini hayafai, hata Mahakama haitaweza kumzuia kufunga kiwanda chake. Serikali pekee ndio inaweza kuzuia kufungwa kiwanda kwa kutoa ruzuku kufidia hasara iliyojitokeza kutokana na sera au Sheria mbaya za nchi ikiahidi kurekabisha mazingira ya uzalishaji na biashara ya saruji. Miradi miwili mikubwa inayohitaji saruji kwa wingi bado iko kwenye hatua za mwanzo ikiwa na maana mitaani itakosekana kabisa kidogo itakayopatikana itakwenda kwenye Miradi ya Umma.
 
Asante kwa ufafanuzi murua.
 
Sawa, ila yatupasa tujiulize sababu ya Dangote kushindwa kulipa madeni ni matokeo ya biashara hiyo kuwa sio nzuri hapa nchini au ni matatizo binafsi ya muwekezaji mwenyewe?
Kubali hoja ya msingi kwanza ya Wakili Msomi Mselewa, hayo maswali mengine yakupasa kuuliza uongozi wa Dangote.
 
Huu unabii/ufunuo umeupata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…