Mahakama yazuia ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 kuguswa kuanzia leo Juni 27, 2022

Acha kelele zako ulishasema hawatotimuliwa mbona walitimuliwa? Huko kuwalinda mahakamani ndio hawafukuziki? 2025 watagombea kwa ulazima?

Mlimjaza hivi hivi zitto na lijualikali Leo yakwapi? Walivuna nini?
 

Mbona huweleweki.
 
Acha
At the end chadema will win.
 
Wenye akili tulijua! Shetani hajawahi mshinda Mungu au siyo OKW BOBAN SUNZU na Retired
 

Mbona walishafukuzwa chadema. Wanabebwa na Bunge na Mahakama.
 
Hakuna mtanzania wa kupigana kisa CHADEMA. Kama una hamu ya kupigana kalisaidie jeshi la DRC dhidi ya M23. Halafu kama mmiliki wa chama Mh. Mbowe hana noma na CCM wala Mama Samia iweje wewe kijakazi ujifanye una uchungu sana?
 
CHAMA CHA MIHEMKO HICHO.
hawawezi kukuelewa.
Kama haukuwapeleka bungeni utawafukuza vipi ubunge?
Aliyewapeleka bungeni akawaapisha ndo anajua jinsi ya kuwafukuza ubunge

Kwa hivyo Leo mtu anaweza kuamka asubuhi akaenda bungeni bila kuthaminuwa na Chama. Waache kutumia Jina la chadema wajiite wabunge wa mahakama.
 
Hizi sarakasi zina baraka zote za Mr Chair, Binti yetu alitafutiwa mpaka kakibarua pale lunyang'auni naye akaenda kukutana na Mr Chair pale naniliu Nairobi akiwa na swahiba wake damu damu (wanapendana hao, maswahiiiba!)

hahahahaaha nyama choma za Carnival taamu sana, sijui ilikuwa crocodile ile kitu white kwenye plate...

Hizi ni sarakasi mpaka 2025, sio mbali ni hapo tu, mabinti watapata msamaha halafu tunarudi kwenye kale kamkataba ketu ka zawadi kuanzia Kawe, Bunda, Tarime pale nk baaasi after "uchafuzi halali" 2025 rutakuwa tunademka kama kawa pale chakochako......hahahahaha....
 
Hakuna mtanzania wa kupigana kisa CHADEMA. Kama una hamu ya kupigana kalisaidie jeshi la DRC dhidi ya M23. Halafu kama mmiliki wa chama Mh. Mbowe hana noma na CCM wala Mama Samia iweje wewe kijakazi ujifanye una uchungu sana?

Chama sio Cha Mbowe, chama ni Mali ya wanachama. Kati ya watu wanao ididimiza Chadema ni Mbowe. Wewe mtu kafukuzwa chama unahangaika kumtafutia kazi unaa maana gani?
 

Naona temporary injunction imewafanya kuwa manabii.
 
Nakubaliana nawe kwa 200%
 
Nawapongeza kina mama shupavu 19 kupambania haki yao. Naipongeza mahakama kusimama kwenye haki. Spika kijana Tulia nae pia siwezi acha kumpongeza.

Pongezi kwa taarifa ya kuambiwa. Umesoma maamuzi ya mahakama?
 
Hawa watu wakiambiwaga fact wanatukana matusi tu ndio eanachojua.
Wanaambiwa kilasiku humu DJ anajua mchoro A to Z hawaelewi wana kaza mafuvu tu.
Muda ni msemakweli namba moja.

DJ yupi? Watu wanaongelea haki mahakamani wewe unaleta stori za dj?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…