Mahakama yazuia ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 kuguswa kuanzia leo Juni 27, 2022

Hii nchi ina siasa za hovyo.
 
Huyo DJ ndio kashikilia remote, kama humjui basi huwajui covid 19 pia.

Mara dj Mara gaidi?. Yani kutoka kuwa gaidi mpaka kumcontrol spika asiyejielewa na mahakama za mchongo. Kama dj anaweza kumcontrol spika IGP atafanyaje? Hi nchi inajitafutia laana isiyo ya kifani.
 
Watanzania wameshaona nia ovu ya CCM kwenye hili, Chadema wajitoe huko wawaache CCM waendelee na watu wao, na Mbowe aondoke kwenye yale maigizo ya maridhiano, vinginevyo kubaki kwenye maridhiano katikati ya hali hii ni kujiaibisha.
Mbowe analamba asali kwa sasa, hawezi kujiondoa katu.
 
Tuwekee hapa hiyo memo Evarist Chahali . Mbona unakuwa mwoga wakati wewe ni ngangari??
 
na Mbowe aondoke kwenye yale maigizo ya maridhiano, vinginevyo kubaki kwenye maridhiano katikati ya hali hii ni kujiaibisha.
Naungana na wewe mkuu. Huyu mama anachokifanya ni kupunguza pressure za upinzani kwa kutoa matumaini na ahadi hewa.

Mwisho wa siku sote tukubaliane kwamba awamu ya 6 wanaongea Kama malaika na kutenda kama shetani.
 
Amka kutoka usingizini acha kuota utajikojolea
 
Chama sio Cha Mbowe, chama ni Mali ya wanachama. Kati ya watu wanao ididimiza Chadema ni Mbowe. Wewe mtu kafukuzwa chama unahangaika kumtafutia kazi unaa maana gani?
Jidanganye. Angekuwa kiongozi mwingine wa CHADEMA tayari nyumbu zingemtukana mno na kumwita msaliti kwa kuendelea kutafuta maridhiano. Ila kwasababu ndo mwenye chama wale vijana watukanaji wanashindwa la kufanya.
 
Naungana na wewe mkuu. Huyu mama anachokifanya ni kupunguza pressure za upinzani kwa kutoa matumaini na ahadi hewa.

Mwisho wa siku sote tukubaliane kwamba awamu ya 6 wanaongea Kama malaika na kutenda kama shetani.
Upo sahihi kabisa, pale ni kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Hakuna mtanzania wa kupigana kisa CHADEMA. Kama una hamu ya kupigana kalisaidie jeshi la DRC dhidi ya M23. Halafu kama mmiliki wa chama Mh. Mbowe hana noma na CCM wala Mama Samia iweje wewe kijakazi ujifanye una uchungu sana?
Mimi nimejikita zaidi demokrasia na utawala wa sheria.
Mdau uko kichama zaidi bila kujari wabunge haramu wanatumia kodi yako na yangu. Na ni ishara ya uovyo ngazi ya nchi.
CDM inaweza hata kufa lakin Taifa lipo tu. Onyesha bas unajari sheria, kanuni na taratibu bila kujari siasa za vyama. Usipende sana uovyo!
Hope una watoto. Unataka wawe na namna gani ya kufikiri na kutenda?
 

Maridhiano makubwa yameshafanyika, chadema hawataki vile viti na hata kama wakitolewa still hawatapeleka watu wengine

Ni kama swala la ruzuku Tu mpaka Leo hawataki Kwa sababu zao binafsi

Viongozi wakuu wamefaidika na maridhiano ya kwao Kwa manufaa yao

Lisu kalipwa pesa zake mbowe nae biashara zake zimefunguliwa vizuri
 

Ww Una uchungu na Kodi yako Kwa watu 19 Tu? Mbona hulalamiki Kodi yako Kwa mambo mengine?

Wakina mdee wakitoka Kodi yako itakuwa itakuwa imejenga barabara ?
 
Wewe acha porojo kila kitu leo kinajulikana nani mratibu na nani msimamizi lakini mwisho wa yote kila jambo lina mwisho wake kama mmewafadhili ili mkopesheke shauri yenu,upumbavu huu kwa kweli mtaujutia ninyi ccm pamoja na hao covid 19.

Chadema bwana
 
Alaaa! Kumbe!! Basi sawa Jasusi britanicca
 
Acha porojo please! Ni mjinga tu anayejifanya hajui ushenzi unaofanywa na Hawa washenzi. Na siku CHADEMA wakishinda mje muongee
Itunze vizuri comment hii ntaifufua 2024 October
 
Chadema ni mke wangu hawezi akanisumbua! 😀😀
 
Hawa watu wakiambiwaga fact wanatukana matusi tu ndio eanachojua.
Wanaambiwa kilasiku humu DJ anajua mchoro A to Z hawaelewi wana kaza mafuvu tu.
Muda ni msemakweli namba moja.

..kama Dj anajua mchoro basi mambo yamembadilikia.

..alitakiwa ajenge ushawishi kuhusu huo mchoro kwenye Kamati Kuu na Baraza Kuu ili kina Halima wasifukuzwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…