Kosa kuchoma mabasi, stendi, nyumba n.k. Adhabu yake kifo?wakati wa magu na jk nani alichoma mabasi, stendi, nyumba nk?
kwahiyo serikali iliamua kuua bila sababu?
Mimi siyo mwanasheria nitajaribu kukujibu.Kwa nini
Kwa nini jaji amesema shitaka jipya la kifungu cha 38(2) (d) wakati kesi ya uhaini
Kwa nini jaji amesema shitaka ni jipya la kifungu cha 38(2) (d) wakati Lisu anashtakiwa kwa kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Urekebu wa Mwaka 2022. Ambapo hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa .
Hivi unaweza kushitakiwa kwa kosa wizi, ktk process za kuthitisha tuhuma dhidi yako kushindikana ikaibuka na kuthibitika kuwa wewe ni mzururaji (ambalo nalo ni kosa lenye adhabu) .je utahukumiwa kwa kosa ambalo hukutuhumiwa nalo tangu mwanzo?Kwani hujui nia yao toka mwanzo? Ni kukutwa na hatia, halafu hukumu itakua vinginevyo nia ni kumtoa kwenye ulingo wa siasa, maana uhaini, hauruhusu kugombea nafasi yoyote ya siasa, hivyo hata chama ataporwa kwa kukosa sifa stahiki baada ya uhaini huo fake kupewa.
Wala hawana haja ya kumfunga jela maisha au kumnyonga. Ni kumtoa mchezoni tu.
Siasa ya Bongo ni TAKATAKA.
Huwezi kuhukumiwa kwa jambo ambalo halipo kwenye hati ya mashtaka!Hivi unaweza kushitakiwa kwa kosa wizi, ktk process za kuthitisha tuhuma dhidi yako kushindikana ikaibuka na kuthibitika kuwa wewe ni mzururaji (ambalo nalo ni kosa lenye adhabu) .je utahukumiwa kwa kosa ambalo hukutuhumiwa nalo tangu mwanzo?
Ndugu kuna sauti inaniambia kuwa matukio ya October 29 yaliratibiwa na kutekelezwa na CCM na serekali yake. Mojawapo ya malengo yao ni kumnyonga Lissu.Kosa kuchoma mabasi, stendi, nyumba n.k. Adhabu yake kifo?
Kwa mujibu wa sheria ipi?
Walifikishwa mahakamani ili wajulikane waliochoma na wasiochoma?
Hivi ulitumia angalau 20% tu ya akili yako kubwa kufikiri kabla ya kuandika ulicho andika hapo?
Asante sanaHuwezi kuhukumiwa kwa jambo ambalo halipo kwenye hati ya mashtaka!
Hakuna kitu km hicho.Hivi unaweza kushitakiwa kwa kosa wizi, ktk process za kuthitisha tuhuma dhidi yako kushindikana ikaibuka na kuthibitika kuwa wewe ni mzururaji (ambalo nalo ni kosa lenye adhabu) .je utahukumiwa kwa kosa ambalo hukutuhumiwa nalo tangu mwanzo?
Anafungwa au ananyongwa?Lissu anafungwa, kila kitu kinajieleza
Ndunguru akiwa anahitimisha mahakama Leo amesema, mitandao (jamii forum) tumejitahidi kumchochea ila hachocheki.Jamaa fala sana huyu Ndunguru, ndio maana basi wamempa yeye hii kesi sababu wanajua anaingilika na kufanya burgaining.
Huyo Ndunguru tayari kaandikiwa hukumu Hana lolote. Maneno Gani hayo ya Jaji kuongea kama mipashoNI mpumbavu Tu na mwenye ashk majnun anaweza kusema eti hakuna kitu Katuga kaongea. Any way tuache wafu wazikane na wafu wao
Ila mwishoni Jaji Ndunguru kusema maneno Sahihi sana, Kasema Hivi:
"Ni washukuru na wananchi waliokuwa wanasikiliza, pamoja na kwamba kuna wakati walikuwa WANATUCHOCHEA, lakini HATUKUCHOCHEKA".
Mpuuzi sana, kuna mtu amesema humu kuwa jamaa ni mtu wa kupindisha sana mambo. Ile Lissu tu kuwa na kesi ya kujibu, tulishamuona jamaa ni mpumbavu.Ndunguru akiwa anahitimisha mahakama Leo amesema, mitandao (jamii forum) tumejitahidi kumchochea ila hachocheki.
Katuga kaivua nguo LLB na MU na zaidi mwalimu wake wa Sheria Prof Kinemo..!!Hivi we unaona kuna shimo gani alilofukia? Wale mashahidi wa upande wa mashitaka hao cjui PW16 wale ushahidi wao hauna mashiko.
Cha kusikitisha hata katuga mwenyewe ameletewa kesi na kuwekewa mezani, wakili msomi lissu ndo amemsanua kwamba protoko za kufungua kesi hazifanyika kwa mujibu wa taaluma ya sheria.
Hao machawa hawajui kitu chochote, angalia hata mawakili wa jamuhuri, ni katuga pekee ndo anaonekana kidogo zimo na huu mzigo aliopewa na matahira, inakwenda kuwa fedheha kwake.
Mimi binafsi nasubiria kuona maamuzi ya kipumbavu ya mahakama kama itamkuta lissu na hatia, la hasha itakuwa fedheha sana kwa hawa matahira kama lissu hatakutwa na hatia..
waliochoma mabasi, stendi, hawajaua?Kosa kuchoma mabasi, stendi, nyumba n.k. Adhabu yake kifo?
Kwa mujibu wa sheria ipi?
Walifikishwa mahakamani ili wajulikane waliochoma na wasiochoma?
Hivi ulitumia angalau 20% tu ya akili yako kubwa kufikiri kabla ya kuandika ulicho andika hapo?
Walimuua nani?waliochoma mabasi, stendi, hawajaua?
askariWalimuua nani?
Hakuwa na silaha?
Hakuwashambulia na silaha za moto?
anyongweWaheshimiwa Majaji, minor contradictions and discrepancies zinaithibitishia Mahakama kwamba, kwa msimamo wa kisheria, hawa mashahidi si mashahidi ambao wamekuwa coached kutoa ushahidi. Katuga.
Kwani kama ushahidi una "Contradictions and discrepancies (minor?) anataka mahakama iamue vipi?
Anafungwa kwa sheria gani!!?Lissu anafungwa, kila kitu kinajieleza
Waliuwa Askari walioshambulia watu kwa silaha au kwa ukatili mkubwa.askari
wewe mbona hujauliwa?
Amen.Nawapongeza wote mlioshiriki hii case na kusaidia tuliopo mikoani kuisoma na kujisikia nasi tupo hapo. Mwenyezi Mungu awabariki na kuwarudishia mara dufu