Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Hata kama ukitishia kumuua mtu, halafu kweli huyo mtu akakutwa amekufa na alama za vidole vyako zikakutwa kwenye kisu au bunduki iliyotumika kuua, huna hatia mkuu. Mpaka ithibitike, beyond reasonable doubt, kuwa kweli wewe ndiye uliyeua. Kesi ngumu za namna hii haziamuliwi kwa ushahidi dhaifu kama alama za vidole. Rejea kesi ya mauaji ya mdogo wake bilionea Msuya.
 
Anataka pia kupendekeza vijiadhabu vidogo vidogo ili tu kumuondolea TAL credibility kwenye kugombea madaraka ya umma. Yeye alishasema hakuna hiyo! Ni ama umnyonge au umuachie huru. Katuga asilete Ukatuga (Ukilaza) wake kuturubuni hapa.
Ana unya unya
 
Mwanangu tu darasa la pili shule ya msingi kayumba na mfagio wake kiunoni, anaweza kutoa tofauti ya group na public
 
Over act/deed.

Hili nilisalisemaga kwenye Uzi wangu wa Uchambuzi na Tathmini | Final submission ya Tundu Lissu nilisema kwamba neno "The Public" ni pana sana na ndicho kinachomtesa katuga now.

Katuga anasema kwamba Kifungu cha 39(2)(d) cha Penal Code kimeanza na maneno “any person or group of persons”, lakini katika hati ya mashitaka Jamhuri imetumia maneno “the public” kwa sababu, kwa mujibu wa hoja yake, public inaweza kujumuisha watu hao.

Hapa Katuga anarejea pia maana ya “public” katika Kifungu cha 5 cha Penal Code.

Naomba niseme wazi:
Katuga, hapa unakula kinyesi chako mwenyewe. Why?

Kwa sababu tunahitaji kurudi kwenye kanuni ya kwanza kabisa ya kutafsiri sheria ya jinai. Hatuanzi na kutafuta kifungu kingine ili tutengeneze kosa; tunaanza na kosa ambalo mshtakiwa ameshtakiwa nalo, kisha tunaangalia kama particulars zilizowekwa kwenye hati ya mashitaka zinaangukia ndani ya maneno ya sheria hiyo.

Kifungu cha 39(2)(d) ndicho kinachounda offence inayojadiliwa hapa.

Kwa hiyo swali la kwanza si, Neno public linaweza kumaanisha nini katika Penal Code?

Swali la kwanza ni, Kifungu cha 39(2)(d) kinataka nini hasa, na hati ya mashitaka imefuata maneno na elements za kifungu hicho kwa usahihi gani?

Katuga Pia ametumia Kifungu cha 135 cha CPA Kwenye kuandaa Hati ya mashtaka bila kumpa accused taarifa ya kutosha kuhusu nature ya offence, tatizo hilo linaweza kuathiri validity ya charge kwasababu CPA inataka uandike kila kitu kuhusu Nature ya Offence. Yaani Hati ya mashtaka ilitakiwa iseme wazi kwamba tunakopa tafsiri ya neno "Any person or Group of persons" kwenye Kifungu kingine cha sheria tofauti na s.39(2)(d).

Hapa sasa katuga anapaswa kuulizwa, Je, nani anaethibitisha kuwa huo huma umeshawishika na hayo maneno ya lissu?
 
Acha uongo, kusema sio kutenda, nikisema "nitakuua" na ikiwa sijakuua itakuaje nimetenda??
Sitaki Lisu ahukumiwe kwa sababu ile ilikuwa siasa. Sasa usiniparamie kihivyo!
Nikuelimishe kidogo kwa faida ya wengi. Jibu la hii kitu imejificha kwenye ''nia'' wakati nafanya jambo, nia ya hili jambo ni nini? Hapo kwenye jibu ndio penye uzito[points]
Nikupe mfano mwingine nje ya kesi inayofuatiliwa.
Kubaka ni kosa. Na tuchukuliee kumtisha mtu ni kosa. Nikisema, ''nitakubaka cocastc kavukavu''
Hapa ikithibitika ulitishika basi nitakuwa nimetenda kosa la kukutisha, ila sio kosa la kubaka (halijatendeka) ambalo kitendo chake ni kukula uloda upende usipende. Mfano huu wa viwanja vile utakuwa umeelewa somo.
 
Sasa huko kutishika si hadi mie mwenyewe nithibitishe kuwa kweli nilitishika ndipo iwe case?

Sasa kwa muktadha wa case hii, ilitakiwa serikali ije hapo mahakamani itoe ushahidi wa kutishika kwake, mbona haijaja? Tena lissu mwenyewe aliwaita waje na hawajaja, itakuaje kosa??
 
Safi kabisa kwa uchambuzi huu. Ila sio kwamba Katuga hajui, anajua ila anajizima data ili kuwafurahisha watu fulani na ameahidiwa kitu kizuri baada ya hii case kuisha. Hivyo hapo anapigania takrima na zawadi yake.
 
Nmeshangaa ilkuaje Lissu akaona mapema maneno ya Katuga kua atakuja na issue ya kosa ambalo halipo kwenye mashitaka ?? Anataka iwe hata miaka kadhaa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…