Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Your browser is not able to display this video.
 
 
Undeni jeshi hakuna nchi imekombolewa kwa sala.

Taliban, hamas, Hezbollah, M23 waligundua hilo muda mrefu sisi ndio bado tuna enda kinyume na sayansi ya siasa.

Mtasali sana lakini chama cha mtandao hawatawaonea huruma.
 
Ahaa. Wanasali wakristo wakatoliki. Waislam wakae mbali hapo, haiwahusu
Hii ni noma hii hivi Askofu ametoa kibari wafanye hivyo au wamefosi tu wenyewe maana hapo wanamtafutia ugomvi Askofu na yule Mama, sasa itakuaje mboni haikusomwa kwenye ile Harambee ya kukusanya Billion 100 za watu Masikini?
 
Wameamua kujianika, sisi kobazi tunawatakia kila la kheri
Kobazi hawanaga akili ni maanithi wa akili ...utawasikia wanadanganya watu kuwa wao waliwai kupigania uhuru wa Tanganyika 😁😁😁
 
Kobazi hawanaga akili ni maanithi wa akili ...utawasikia wanadanganya watu kuwa wao waliwai kupigania uhuru wa Tanganyika 😁😁😁
Mohamed Said unamsikia kijana wako huko Mzee wetu anakubagaza
 
Kobazi hawanaga akili ni maanithi wa akili ...utawasikia wanadanganya watu kuwa wao waliwai kupigania uhuru wa Tanganyika 😁😁😁
Kwamba mtu kutoka mara akaenda kariakoo kuanzisha chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…