Kelele za miaka 2 ni kukurupuka?
Sio wote mliompigia kelele mlikuwa mnalalamikia utendaji, wengine walikuwa kwny fitna zao za mitandao ya Urais, wengine kupoteza kandarasi n.k

pengine hata kilichowatoa sio tunachofikiria …kuna mambo mengi sana kwny Serikali na kama hujawahi kuwa na uelewa huwezi elewa

kuna watu wamesha na wanaendelea kundolewa maeneo yao kazi kwa kuwa waliingia na kukata mirija ya watu nao wakafanyiwa counter attacks kwa watu kuweka working tools chini kimtindo

kuna Port Manager pale TPA wakati wa Othman Janguo aliwahi kupigwa Mgomo baridi hadi fork lift ikatoswa baharini kwa kuwa alikuwa Mtu kazi na sisi hatupendi kazi na matokeo yake akabutuliwa

Kina January na Maharage wanaweza kuwa walikuwa wabadhirifu, au utendaji wa chini ya kiwango au pia fitna zilizidi uwezo wao kuzikabili wakapigwa hujuma

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Kumtoa Ulanga TTCL ni kama kutaka kujaribu kuliua tena hilo shirika...

Ulanga naamini alikuwa mtu mwenye upeo sahihi wa kuihuisha TTCL baada ya Kindamba kulegalega...

TTCL ili ishindane na makampuni binafsi inahitaji mtu kichwa...
Kwa maana ya kushindana kwa ttcl na makampuni binafsi nahisi MC anafaa kwani aliwahi kuwa mtumishi mwandamizi pale Vodacom na pia ndio ubobezi wake ulipo haswa kwenye masuala ya telecom .....Mama amemuamini nasi tuwe na imani nae kuwa ataweza ukizingatia hilo shirika halina wahujumu wengi kulinganish na alipotoka
 
Ngoja tuone kama umeme hauta katika katika tena
𝐒𝐞𝐦𝐚 𝐭𝐮𝐮 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐯𝐢𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 𝐮𝐭𝐞𝐧𝐝𝐚𝐣𝐢 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐨 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐯𝐢𝐬𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐤𝐰𝐚𝐨 𝐧𝐢 𝐬𝐚𝐰𝐚 𝐭𝐮𝐮. 𝐋𝐚𝐛𝐝𝐚🤫🤔 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐤𝐨 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐞𝐮𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐚𝐳𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐚 𝐯𝐲𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐚𝐟𝐚𝐬𝐢 𝐳𝐚𝐨
 
Rais ana jicho kali kola mahali, anashindwaje kuyatambua haya au anakosa utashi wa kufanya mabadiliko?

Ninajua sana fitina za nchi hii lkn rais anapaswa kuwa mbele ya fitina zote kwani anaijua nchi vizuri.
Amekuwa Vp 5.5yrs anajua kila fitna
 
Jamani wamkumbuke na Salim Kikeke, kuwa msemaji wa serikali ana fit
 
Maharage ameboronga TANESCO lakini bado anapewa ukurugenzi kwingine....ina maana hakuna wasomi wengine Tanzania hii wenye weledi!?.
Huu upuuzi huuwa unanifikirisha sana,sijui kuogopana sana. Nchi raia ml60 unakosa kusort watu makini waadrifu wapya....au Basi.
 
Rais ana jicho kali kola mahali, anashindwaje kuyatambua haya au anakosa utashi wa kufanya mabadiliko?

Ninajua sana fitina za nchi hii lkn rais anapaswa kuwa mbele ya fitina zote kwani anaijua nchi vizuri.
Amekuwa Vp 5.5yrs anajua kila fitna
Nyerere alikuwa Ikulu kwa 23 years tena wakati huo hapakuwa na mitandao ya wasaka vyeo kama leo lakini alikiri yapo maamuzi aliyofanya alikosea kwa kuingizwa Mkenge

JK aliwahi kukiri aliletewa Dokezo la kumuondoa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu kwa hoja kuwa ndio Mhandisi wa madeni feki ya Walimu kumbe ndio alikuwa anapambana nayo kufa kupona kuyadhibiti

alipomtoa madeni feki yakazidi ikabidi aunde Taskforce ya uchunguzi nje ya ile rasmi ndio akagundua huo uozo

Kwny nafasi yeyote ya Management hata ngazi ya kijiji risk kubwa ni kufanya maamuzi kwa kutegemea creative reports

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Hivi TTCL si iko chini ya Nape? Huko atakuwa safe; kwa mshkaji mwenzake mwingine. Basi hapo bado mama anasainishwa tu wanachotaka wajanja.
 
22 May 2023
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI wa MABALOZI NANE, JENERALI MWAISAKA, JENERALI SIMULI, BYAKANWA na WENGINE

Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).
23 September 2023 amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO ....


View: https://m.youtube.com/watch?v=5PEPm9ErW2I
Rais Samia akimuapisha Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023

Updates :
23 September 2023


hours ago — Taarifa kwa umma iliyotolewa inaeleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO.
 

View: https://twitter.com/thinkbig2025/status/1705496772628430985?t=B5funCk5omXMnv-QtfLnaQ&s=19
 
What a fucked up country and a regime, sasa Ttcl kuna ni ni!? Ye ye samia alikili Ttcl, imekufa bora wauze kila kitu, sasa jitu liloboronga tanesco,unalipeleka kwenye shirika linalopumulia machine, surely atafsnya ni ni kule Ttcl, zaidi ya kulizika kabisa? ;
Maisha, yamepanda, hii seikali haina, chochote cha kufanya kupunguza matumizi?! Kwani, lazima kila nafasi, uteue mtu? Zingine si, zingefutwa? mfano Dar ilikuwa, na, wilaya, tatu tu, I lala, temeke,na kinondoni? Kwani, eneo LA ardhi limeongezeka? Kwanini Uwe na ubungo na kigamboni? Watu wameongezeka tu, ongeza huduma, shule, hospitari, nk, sio watawala! Hv kuna tija gani, kama kila mwananchi akiwa na mbunge wake!
Watu 200 mbunge mmoja! Au, watu 500000! Mbunge mmoja! Njia, za, kuwasikiliza 200,ndio hizo, hizo, unawasikiliza milioni 5! Sasa, kwanini, ujaze kenge 350+ bungeni?
 
Kumtoa Ulanga TTCL ni kama kutaka kujaribu kuliua tena hilo shirika...

Ulanga naamini alikuwa mtu mwenye upeo sahihi wa kuihuisha TTCL baada ya Kindamba kulegalega...

TTCL ili ishindane na makampuni binafsi inahitaji mtu kichwa...

Ulanga was about to restore ttcl to it glory, he is the reason huduma ya finer majumbani imekuwa launche. Cant say for chande,labda tuone nn kitafanyika
 
Kweli Taifa linayumba.
Yaani pamoja na kuambiwa ukweli kuwa hafai bado anahamishiwa kwenye Shirika mama kuendelea kulibomoa! Kweli mnatuona manyani sio bure!!
Hafai hafai! .
2025!!
 
Mbona wa dini ile ni asilimia 90.9?
Wa dini ya Waraka mtaul wa chuya!
 
Chande angepewa usemaji wa timu ya taifa make anapenda kuonekana kwenye kamera za waandishi wa habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…