Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ukulima wa Mahindi .Pole Lucas mwashambwa. Hata UDAS umekosa? Cheo gani inakufaa sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukulima wa Mahindi .Pole Lucas mwashambwa. Hata UDAS umekosa? Cheo gani inakufaa sasa?
Sio wote mliompigia kelele mlikuwa mnalalamikia utendaji, wengine walikuwa kwny fitna zao za mitandao ya Urais, wengine kupoteza kandarasi n.kKelele za miaka 2 ni kukurupuka?
Kwa maana ya kushindana kwa ttcl na makampuni binafsi nahisi MC anafaa kwani aliwahi kuwa mtumishi mwandamizi pale Vodacom na pia ndio ubobezi wake ulipo haswa kwenye masuala ya telecom .....Mama amemuamini nasi tuwe na imani nae kuwa ataweza ukizingatia hilo shirika halina wahujumu wengi kulinganish na alipotokaKumtoa Ulanga TTCL ni kama kutaka kujaribu kuliua tena hilo shirika...
Ulanga naamini alikuwa mtu mwenye upeo sahihi wa kuihuisha TTCL baada ya Kindamba kulegalega...
TTCL ili ishindane na makampuni binafsi inahitaji mtu kichwa...
𝐒𝐞𝐦𝐚 𝐭𝐮𝐮 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐯𝐢𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 𝐮𝐭𝐞𝐧𝐝𝐚𝐣𝐢 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐨 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐯𝐢𝐬𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐤𝐰𝐚𝐨 𝐧𝐢 𝐬𝐚𝐰𝐚 𝐭𝐮𝐮. 𝐋𝐚𝐛𝐝𝐚🤫🤔 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐤𝐨 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐞𝐮𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐚𝐳𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐚 𝐯𝐲𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐚𝐟𝐚𝐬𝐢 𝐳𝐚𝐨Ngoja tuone kama umeme hauta katika katika tena
Rais ana jicho kali kola mahali, anashindwaje kuyatambua haya au anakosa utashi wa kufanya mabadiliko?Sio wote mliompigia kelele mlikuwa mnalalamikia utendaji, wengine walikuwa kwny fitna zao za mitandao ya Urais, wengine kupoteza kandarasi n.k
pengine hata kilichowatoa sio tunachofikiria …kuna mambo mengi sana kwny Serikali na kama hujawahi kuwa na uelewa huwezi elewa
kuna watu wamesha na wanaendelea kundolewa maeneo yao kazi kwa kuwa waliingia na kukata mirija ya watu nao wakafanyiwa counter attacks kwa watu kuweka working tools chini kimtindo
kuna Port Manager pale TPA wakati wa Othman Janguo aliwahi kupigwa Mgomo baridi hadi fork lift ikatoswa baharini kwa kuwa alikuwa Mtu kazi na sisi hatupendi kazi na matokeo yake akatubuliwa
Kina January na Maharage wanaweza kuwa walikuwa wabadhirifu, au utendaji wa chini ya kiwango au pia fitna zilizidi uwezo wao kuzikabili wakapigwa hujuma
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Jamani wamkumbuke na Salim Kikeke, kuwa msemaji wa serikali ana fitRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
MAKATIBU TAWALA MKOA
- Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
- Amemteua Ndugu Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huo, Ndugu Msigwa alikuwa Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali. Nafasi
iliyoachwa wazi ya Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali itatangazwa baadae.
WAKUU WA TAASISI
- Ametengua uteuzi wa Ndugu Abdallah Mohamed Malela, Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara. Badala yake amemteua Bi. Bahati Ibrahim Geuzye kuwa katibu Tawala Mkoa wa Mtwara. Kabla ya uteuzi huu, Bi Bahati alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA).
- Amemteua Ndugu Mohamed Jumanne Gombati kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Geita. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Gombati alikuwa Mkurugenzi Msaidizi
Sehemu ya Maafisa Waandamizi katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
WAKUU WA WILAYA
- Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, Bw. Omar Issa ataendelea na majukumu mengine aliyopangiwa katika Ofisi ya Rais - Tume ya Mipango.
- Amemteua Ndugu Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Anachukua nafasi ya Mhandisi Peter R. Ulanga ambaye atapangiwa kazi nyingine.- Amemteua Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kabla ya uteuzi huu Ndugu Nyamo - Hanga aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
- Amemteua Dkt. Erasmus Fabian Kipesha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Kipesha alikuwa Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi (TEA).
WAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI (MA -DED)
- Ametengua uteuzi wa Ndugu Hanafi Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini na badala yake amemteua Bi. Mwanahamisi Mkunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mkunda aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
- Amemteua Dkt. Stephen Isaac Mwakajumilo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Bi Mariam Chaurembo atapangiwa kazi nyingine.
KATIBU TAWALA WILAYA
- Amemteua Ndugu Hassan Bakari Nyange kuwa Mkurugenzi (DED) wa Mtwara TC. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Nyange alikuwa DAS Wilaya ya Namtumbo. Aidha, aliyekuwa Mkurugenzi (DED) wa Wilaya ya Mtwara TC, Kanali Emmanuel Mwaigobeko atapangiwa kazi nyingine.
- Ametengua uteuzi wa Bi. Tatu Said Issike, Mkurugenzi wa Mtwara DC na kumteua Ndugu Abeid Abeid Kafunda kuwa Mkurugenzi (DED) wa Mtwara DC. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Kafunda alikuwa Mwanasheria katika Ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali.
- Amemteua Ndugu Reuben Sixbert Jichabu kuwa Mkurugenzi (DED) wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Ndugu Erica Yegella atapangiwa kazi nyingine.
Amemteua Ndugu Francis George Mgoloka kuwa Katibu Tawala wa Wilaya
(DAS) ya Namtumbo. Kabla ya uteuzi huo Ndugu Mgoloka alikuwa Katibu Tarafa Mswaki - Kilindi Handeni.
Katibu Mkuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wataapishwa siku ya Jumanne saa sita mchana Ikulu, Dar es Salaam.
View attachment 2759138
View attachment 2759139
View attachment 2759157
Huu upuuzi huuwa unanifikirisha sana,sijui kuogopana sana. Nchi raia ml60 unakosa kusort watu makini waadrifu wapya....au Basi.Maharage ameboronga TANESCO lakini bado anapewa ukurugenzi kwingine....ina maana hakuna wasomi wengine Tanzania hii wenye weledi!?.
Nyerere alikuwa Ikulu kwa 23 years tena wakati huo hapakuwa na mitandao ya wasaka vyeo kama leo lakini alikiri yapo maamuzi aliyofanya alikosea kwa kuingizwa MkengeRais ana jicho kali kola mahali, anashindwaje kuyatambua haya au anakosa utashi wa kufanya mabadiliko?
Ninajua sana fitina za nchi hii lkn rais anapaswa kuwa mbele ya fitina zote kwani anaijua nchi vizuri.
Amekuwa Vp 5.5yrs anajua kila fitna
23 September 2023 amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO ....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
MAKATIBU TAWALA MKOA
- Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
- Amemteua Ndugu Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huo, Ndugu Msigwa alikuwa Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali. Nafasi
iliyoachwa wazi ya Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali itatangazwa baadae.
WAKUU WA TAASISI
- Ametengua uteuzi wa Ndugu Abdallah Mohamed Malela, Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara. Badala yake amemteua Bi. Bahati Ibrahim Geuzye kuwa katibu Tawala Mkoa wa Mtwara. Kabla ya uteuzi huu, Bi Bahati alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA).
- Amemteua Ndugu Mohamed Jumanne Gombati kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Geita. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Gombati alikuwa Mkurugenzi Msaidizi
Sehemu ya Maafisa Waandamizi katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
WAKUU WA WILAYA
- Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, Bw. Omar Issa ataendelea na majukumu mengine aliyopangiwa katika Ofisi ya Rais - Tume ya Mipango.
- Amemteua Ndugu Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Anachukua nafasi ya Mhandisi Peter R. Ulanga ambaye atapangiwa kazi nyingine.- Amemteua Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kabla ya uteuzi huu Ndugu Nyamo - Hanga aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
- Amemteua Dkt. Erasmus Fabian Kipesha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Kipesha alikuwa Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi (TEA).
WAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI (MA -DED)
- Ametengua uteuzi wa Ndugu Hanafi Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini na badala yake amemteua Bi. Mwanahamisi Mkunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mkunda aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
- Amemteua Dkt. Stephen Isaac Mwakajumilo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Bi Mariam Chaurembo atapangiwa kazi nyingine.
KATIBU TAWALA WILAYA
- Amemteua Ndugu Hassan Bakari Nyange kuwa Mkurugenzi (DED) wa Mtwara TC. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Nyange alikuwa DAS Wilaya ya Namtumbo. Aidha, aliyekuwa Mkurugenzi (DED) wa Wilaya ya Mtwara TC, Kanali Emmanuel Mwaigobeko atapangiwa kazi nyingine.
- Ametengua uteuzi wa Bi. Tatu Said Issike, Mkurugenzi wa Mtwara DC na kumteua Ndugu Abeid Abeid Kafunda kuwa Mkurugenzi (DED) wa Mtwara DC. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Kafunda alikuwa Mwanasheria katika Ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali.
- Amemteua Ndugu Reuben Sixbert Jichabu kuwa Mkurugenzi (DED) wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Ndugu Erica Yegella atapangiwa kazi nyingine.
Amemteua Ndugu Francis George Mgoloka kuwa Katibu Tawala wa Wilaya
(DAS) ya Namtumbo. Kabla ya uteuzi huo Ndugu Mgoloka alikuwa Katibu Tarafa Mswaki - Kilindi Handeni.
Katibu Mkuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wataapishwa siku ya Jumanne saa sita mchana Ikulu, Dar es Salaam.
View attachment 2759138
View attachment 2759139
View attachment 2759157
What a fucked up country and a regime, sasa Ttcl kuna ni ni!? Ye ye samia alikili Ttcl, imekufa bora wauze kila kitu, sasa jitu liloboronga tanesco,unalipeleka kwenye shirika linalopumulia machine, surely atafsnya ni ni kule Ttcl, zaidi ya kulizika kabisa? ;Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
MAKATIBU TAWALA MKOA
- Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
- Amemteua Ndugu Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huo, Ndugu Msigwa alikuwa Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali. Nafasi
iliyoachwa wazi ya Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali itatangazwa baadae.
WAKUU WA TAASISI
- Ametengua uteuzi wa Ndugu Abdallah Mohamed Malela, Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara. Badala yake amemteua Bi. Bahati Ibrahim Geuzye kuwa katibu Tawala Mkoa wa Mtwara. Kabla ya uteuzi huu, Bi Bahati alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA).
- Amemteua Ndugu Mohamed Jumanne Gombati kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Geita. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Gombati alikuwa Mkurugenzi Msaidizi
Sehemu ya Maafisa Waandamizi katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
WAKUU WA WILAYA
- Amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, Bw. Omar Issa ataendelea na majukumu mengine aliyopangiwa katika Ofisi ya Rais - Tume ya Mipango.
- Amemteua Ndugu Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL). Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Anachukua nafasi ya Mhandisi Peter R. Ulanga ambaye atapangiwa kazi nyingine.- Amemteua Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kabla ya uteuzi huu Ndugu Nyamo - Hanga aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
- Amemteua Dkt. Erasmus Fabian Kipesha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Kipesha alikuwa Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi (TEA).
WAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI (MA -DED)
- Ametengua uteuzi wa Ndugu Hanafi Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini na badala yake amemteua Bi. Mwanahamisi Mkunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini. Kabla ya uteuzi huo Bi. Mkunda aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
- Amemteua Dkt. Stephen Isaac Mwakajumilo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Bi Mariam Chaurembo atapangiwa kazi nyingine.
KATIBU TAWALA WILAYA
- Amemteua Ndugu Hassan Bakari Nyange kuwa Mkurugenzi (DED) wa Mtwara TC. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Nyange alikuwa DAS Wilaya ya Namtumbo. Aidha, aliyekuwa Mkurugenzi (DED) wa Wilaya ya Mtwara TC, Kanali Emmanuel Mwaigobeko atapangiwa kazi nyingine.
- Ametengua uteuzi wa Bi. Tatu Said Issike, Mkurugenzi wa Mtwara DC na kumteua Ndugu Abeid Abeid Kafunda kuwa Mkurugenzi (DED) wa Mtwara DC. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Kafunda alikuwa Mwanasheria katika Ofisi ya mkemia Mkuu wa Serikali.
- Amemteua Ndugu Reuben Sixbert Jichabu kuwa Mkurugenzi (DED) wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Ndugu Erica Yegella atapangiwa kazi nyingine.
Amemteua Ndugu Francis George Mgoloka kuwa Katibu Tawala wa Wilaya
(DAS) ya Namtumbo. Kabla ya uteuzi huo Ndugu Mgoloka alikuwa Katibu Tarafa Mswaki - Kilindi Handeni.
Katibu Mkuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wataapishwa siku ya Jumanne saa sita mchana Ikulu, Dar es Salaam.
View attachment 2759138
View attachment 2759139
View attachment 2759157
Kumtoa Ulanga TTCL ni kama kutaka kujaribu kuliua tena hilo shirika...
Ulanga naamini alikuwa mtu mwenye upeo sahihi wa kuihuisha TTCL baada ya Kindamba kulegalega...
TTCL ili ishindane na makampuni binafsi inahitaji mtu kichwa...
Kweli Taifa linayumba.This is the huge Public deceiving ( shame kwa SHH), ivi kweli mtu kama Maharage kaharibu sehemu then anateuliwa tena sehemu kweli? Kweli jameni?
Kwamba kwa watanzania zaidi ya 20million wenye uwezo na sifa hawaonekani mpaka aliyeharibu point A kuhamishiwa point B kweli? Kweli SHH?
This proves the fact kwamba , Maharage alitumwa kukwapua na kahamishiwa TTCL akaharibu then aje na wazo la kubinafsisha, CCM ni zaidi ya ukoo wa Panya.
Huyu mwamba yangefanyika mawili kama angekuwa kwenye nchi zenye viongozi na uongozi, sio hawa wachumia tumbo,
Mosi, astaafishwe for the public interests
Pili, afunguliwe mashtaka maana tuhuma zake zinathibitika vizuri tu.
Haya yote yana mwisho.
Zipi hizo mkuu, fungukaPili, afunguliwe mashtaka maana tuhuma zake zinathibitika vizuri tu.