Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona kila anaehoji utendaji wa Maharage unamuona kama hajafikiria vizuri. Okay, tuchukulie kwamba sisi tunaosema hajaifanyia kitu cha maana TANESCO, wewe unaweza kutueleza ni lipi la maana alilofanya hapo TANESCO..?Ni miongoni mwa akina mama ninaowakubali sana hapa jukwaani kwa michango unayotoa na kuchangia ila kwa hili naona kabisa kuwa unaelekezwa na nafsi kuliko ukweli ulivyo japo haijabadili muono wangu kwako
Wengi inawezekana ni kwa kuangalia nasaba za kiimani kwa jina lake bila kuangalia utendaji wake kuanzia mwanzo mpaka hapo pa kupewa ttcl na hata alipotokea pale tanesco wabaya wanaangalia ukatikaji wa umeme ktk msimu huu(kuna sbb nyingi ambazo zipo nje ya uwezo wake)ila pale kafanya makubwa ya kukumbukwa na kusifiwa kama alivyofanya kwenye mashirika na taasisi nyingine za kiserikali na binafsi alizopitia ktk safari yake ya kitendaji
Hakuna Kirusi chochote Pale Tanesco zaidi ya wana ccM wenye nguvu,na walafi waliokita mizizi yako.Hapo kutakaa sawa siku Ccm ikitoka Madarakani.Mafisadi Makubwa ya Ccm ya enzi na enzi huwa yamejificha kwenye Taasisi nyeti kama hii ya Umeme mana wanajua huko kuna ulaji wa Maishaa.Afadhali kirusi kimetoka TANESCO!
Bora yeye,maana Kitenge yeye alipata zero kabisa.
Kalemeni na Muhongo mimi ninawaheshimu sana
Muhongo na umeme wa Zero tarrif, unapata units 75 Kwa Elfu tisa tu.
Muhongo alitisha sana.
Tatizo la Tanesco linajulikana mkuu, issue siyo watendaji.. issue ni vyanzo vya kueleweka vya kuzalisha umeme.𝐒𝐞𝐦𝐚 𝐭𝐮𝐮 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐯𝐢𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 𝐮𝐭𝐞𝐧𝐝𝐚𝐣𝐢 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐨 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐯𝐢𝐬𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐤𝐰𝐚𝐨 𝐧𝐢 𝐬𝐚𝐰𝐚 𝐭𝐮𝐮. 𝐋𝐚𝐛𝐝𝐚🤫🤔 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐤𝐨 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐞𝐮𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐚𝐳𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐢𝐚 𝐯𝐲𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐚𝐟𝐚𝐬𝐢 𝐳𝐚𝐨
Sometimes angalieni na Aina ya majina na watu mnaowapa uongozi .... MTU anaitwa MAHARAGE alafu unampa uongozi
Bila kusigana nawe nakubali ndo mazoea yetu kuwa tukiulizwa swali badala ya kujibu nasi huwa tunauliza .......mimi nimeomba tutajiwe hujuma,ubadhirifu na alichoshindwa Maharage ili kukazia tuhuma zetu kwakeMkuu naona kila anaehoji utendaji wa Maharage unamuona kama hajafikiria vizuri. Okay, tuchukulie kwamba sisi tunaosema hajaifanyia kitu cha maana TANESCO, wewe unaweza kutueleza ni lipi la maana alilofanya hapo TANESCO..?
Ama unasukumwa na hisia tu.
Hawa MaDJ huwa wanabonyezaga nini? Hawawezi wakaacha wimbo ukachezwa hadi mwisho waweke mwingine bila huo ubize usio na tija? MaDJ wanachokifanya hakina faida kwa taifa.Niko paleee Nasubiria umeme uwake View attachment 2759152
Ni kweli. Huwezi kuweka divai mpya ndani ya kasiki lililochakaa. Ikianza kuumuka kasiki litapasuka.Tulisema ni vigumu shamba boy (Dotto) Naibu Waziri Mkuu akae na Mtoto wa Mjini (Maharage). Ilikuwa lazima mmoja apishe na Kwa mazingira ya Sasa , Mtoto wa Mjini alikuwa lazimaa aende. TAIFA linapangwa upya
Atapewa nafasi ya msigwa. Mama anajizungushia watu wakeSalim kikeke