Mahusiano yako hayana afya kama unaishi na mtu anayeombaomba hela

Hapo hakuna mpenzi, bali umepata msaidizi wa kula hela zako. Unakuwa na mwanamke asiyekushauri namna ya kutafuta hela, bali yeye anakushawishi namna ya kutumia hela ulizozitafuta kwa jasho, juwa kabisa hapo hakuna mapenzi.
Hivi kwani hamuwezagi kutuliza mboo zenu????? mbona inawezekana, hivi ukituliza mboo ni nani atakuomba hela????

Binafsi nimeweza kukaa bila mpenzi na Sina mpenzi na siwezi toa hela kisa Ku....ma za wanawake.

Na maisha yanaenda vzr na Nina songa mbele
 
Haja zako unazimalizaje?
 
Option ya kununua ni nzuri japo ina ukakasi sana mkuu. Napiga story na vijana wengi, nao wanaona ni heri kununua kuliko kujibebesha mizigo. Kibubu kikijaa unatafuta 10k unapata shots zako mbili umemaliza.
 

Mkuu, wanawake wengi wa mjini siku hizi, hawataki mtu wa kuwalea, yaani kuwahidumia mahitaji ya msingi, wanataka mtu wa kumchuna, kumpa mahitaji bandia kwa lengo la kumtoboa. Hakuna mwanaume anaweza asijue mahitaji halisi ya mwanamke, shida inakuja hapo kwenye tamaa ya kuibiana na israfu.
Utamfanyia mwanamke ajitegemee yeye akaona unahitaji kufanya zaidi na unakuwa manipulative..
 
Mindsets za wanawake wengi siku hizi ni jau. Hawataki watu wa kuwalea kimahitaji, wanataka watu wafanye zaidi ya hapo yaani wawaibie. 😁
Nilikutana na mwanamke mzuri baraaa, ila ikawa ajabu kila simu yake ni hela, mala anataka 3 million kwa mwezi mala biashara yani havieleweki mie mwenye bado, kuona kupusha kufedheheshwa nikajikalia kimya, akinitafuta najibu poa sitaki story na nyonya damu usawa huu kweli wa kuhonga 3 millions hata kama unayo licha ya kuwa sikuwa nayo 😂😂😂
 
Ni kuwa makini, wahenga wanasema fainali ni uzeeni.
 

Wanawake siku hizi wengi wana mindsets za ajabu, mama zetu zamani sio kwamba walikuwa hawahudumi ila walikuwa halisi, anakupa mahitaji halisi ambayo hata wewe unaona ni relatively fair enough. 😁
Ndio maana utaona guys na wao in return wanataka kuwakaza tuu na kukwepa kuwalea/kuwahudumia ambacho ni kitu cha asili. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…