Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

Lipia Tangazo
 
wewe umemsaidia vingapi kwanza? wewe kumsaidia 5000 tu ndo unakuja kumtangaza huku!?,amakweli wanawake hawana akili afu ni wanyonyaji,we kutoa 5000 ushamuona mzigo je sisi tunao wafuga mpaka uzee wenu wote?
 
Toka nianze tafuta vihela aisee,hakuna pesa rahisi,,,,,wanaume kweli wameumbiwa mateso[emoji16]

Imagine unampa mtu pesa hakudai wala nini[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Toka nianze tafuta vihela aisee,hakuna pesa rahisi,,,,,wanaume kweli wameumbiwa mateso[emoji16]

Imagine unampa mtu pesa hakudai wala nini[emoji16][emoji16][emoji16]
Me ndiomana mpenzi wangu namuonea huruma, hata akinipa pesa ya kusuka nakataa km ninayo natumia yangu.
Pesa ngumu sana lakini wanaume hawakomi kuhonga bichwa la chini likishtuka tyuu chap anachana wallet 😂😂😂😂

Ningekuwa mwanaume sijui km ningehonga aiseee!! 🤣🤣🤣
 
Yaani[emoji16], pesa ngumu balaa, lkn wanaume wameumbwa kipekee[emoji16]
 
Wana vichwa viwili na cha chini ndio kinawapeleka mbio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Toka nimejua kutafuta pesa aisee!! Nina adabu nayo sana.
Na mtu akikuambia kiwa hana pesa jua hana, maana kila mtu na mipango yake, usilazimishe[emoji16][emoji16][emoji16],
 
Na mtu akikuambia kiwa hana pesa jua hana, maana kila mtu na mipango yake, usilazimishe[emoji16][emoji16][emoji16],
Kuna watu wanajua kuomba khaa!!
Me kitu kilinishinda kuomba pesa aisee!!
Nina huruma sana, ndio kinachoniponza 😜
 
I love this post. I showed this post to my family & they also loved this post.we bought a projector & showed this post to the whole neighborhood & they also loved this post. Our lives have changed because of this post. We are grateful to you for this post,Thank you so much for this post..
 
We ndio dereva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…